Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

In play
Screenshot_20181107-114240.jpeg
 
Wazee nimehamisha pesa toka jana kutoka ktk a/c yangu ya 1xbet kuja mpesa na operator ka approve na imeahatoka kyk account, surprisingly toka jana hadi leo haijaingia mpesa, wajuvi hapa kutakua na shida gani?
Itakuja ucwaZe
 
Mmh how tena kwani c ushajisajili na unatumia au bado

nimejisajili tayari... but kampuni nyingi za nje huwa zinataka kuverify account kwa ID. sasa sijajua kwa 1xbet kama ukisharegister kwa phone number ndio inakuwa inatosha au...
 
Sorry wadau hivi uki deposits 1xbet ina chukua mda gani pesa kuwa active kwenye acc yangu
 
Back
Top Bottom