Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Niliweka 2 pesa kwenye ac ya Mpesa imetoka haipo nimewapigia Voda wanasema bado ipo hewani
 
kiongozi bora ucheze magoli kuliko kutoa direct win huu ni ukweli mimi nakwambia kwasababu unapotoa direct win tayari unakuwa umeshajilimiti kwamba timu fulani lazima ishinde lkn ukitoa over 0.5 ina mana yeyote anaweza akatoa hizo goli sasa hapo uwezekano wa kupoteza ni mdogo sana niamini hivyo kiongozi, mimi mechi ya jana ya liverpool niliweka over 1.5 nikajuwa liverpool lazima apate goli kuanzia 2 lakini akapigwa yeye mbili na mkeka wangu ukabaki salama lkn ningempa direct win leo ningekuwa nalia kama wengine.
Ni bahati tu mimi niliweka magoli 2.5 over na akachana vile vile
 
wakuu hivi ni vipi naweza kuwithdraw pesa kutoka katika account yangu ya Galsport?

Nenda kwenye withdraw ila hakuna option ya kuihamisha kwenda kwa simu yako bali kuna code wanakutumia kwenye email yako uliyosajilia kisha nenda betting shop yoyote iliyo karibu, na hiyo code namba yako pia ukumbuke account namba yako na kiasi ulichotoa,
 
Betting shop yoyote tena... mwanza wanapatikana wapi...
 
Back
Top Bottom