Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nimejaribu kubet nimeliwa mikeka yote.
 

Attachments

  • Screenshot_20181107-143528.png
    Screenshot_20181107-143528.png
    24.1 KB · Views: 27
Kuna gemu inaendelea ya basketball Fukuoka jaribuni hata kwa direct win Fukuoka wahi kabla hajapunguza odd. League japan
 
1xbet naona wameondoa malipo ya mitandao ya simu kwenye mtandao wao sijui ni mimi tuu au kuna tatizo gani?
 
Back
Top Bottom