flxjr
JF-Expert Member
- Mar 16, 2018
- 429
- 174
Haba na haba ujaza kibaba
Haba na haba ujaza kibaba
Gemu loss Kuna kitu umekielewa hapoMkuu hizo handicap ndo sizielewi nilitaka kutembea nawe sema ndo hivyo
Wooon ,,,ahsante mkuu
NmechanaGemu loss Kuna kitu umekielewa hapoView attachment 924816
Jamani hi tabia ya kila Mara mtu unauulizia option hiyo hiyo MOJA mnafanya tusiwe tunapost mikeka.... handicap maana yake Nini unajibu kesho Tena anauliza mwingine handicap maana yake Nini inakera
Mkuu hao watu wanakera sana, dawa ni kunyamaza tu sababu swali hilohilo kila sikuJamani hi tabia ya kila Mara mtu unauulizia option hiyo hiyo MOJA mnafanya tusiwe tunapost mikeka.... handicap maana yake Nini unajibu kesho Tena anauliza mwingine handicap maana yake Nini inakera
aana yake hajaelewa vizuri, ama wewe si mwalimu mzuri wa kuelimisha zaidi ya kujiona mtaalamu kwenye hakuna. Kila siku watu wapya wanajiunga na uwe kama mwalimu kwa chochote unachojua bila kujali uliulizwa jana hata kama unaulizwa kila siku kaba damu yako haita kauka kwa kujibu basi mjibu sii kulalamika.. na hatakama hutaki kujibu basi nyamaza wapo watakaomjibu ndio maana ya makundi haya ya kijamii. Pole kama nimekukwaza but i stand to be correctedJamani hi tabia ya kila Mara mtu unauulizia option hiyo hiyo MOJA mnafanya tusiwe tunapost mikeka.... handicap maana yake Nini unajibu kesho Tena anauliza mwingine handicap maana yake Nini inakera
Pole n sorry for any inconvenienceJamani hi tabia ya kila Mara mtu unauulizia option hiyo hiyo MOJA mnafanya tusiwe tunapost mikeka.... handicap maana yake Nini unajibu kesho Tena anauliza mwingine handicap maana yake Nini inakera
Jaribu kuchuna we tuma mkeka tuJamani hi tabia ya kila Mara mtu unauulizia option hiyo hiyo MOJA mnafanya tusiwe tunapost mikeka.... handicap maana yake Nini unajibu kesho Tena anauliza mwingine handicap maana yake Nini inakera
Yeah sure na I didn't need any explanation from him so far nilisema tu sizielewi basi naona amekwazikaKaa kimya tu mkuu kama maswali yanakukera ila usiache kuendelea kupost mikeka na kutuupdate nn kinaendelea kwenye busket anaetaka kujua zaid kila kitu kipo google.
Kurahisisha hili uwe unatuma code tu za 1xbet mkamaria ataelewa mbele kwa mbeleGemu loss Kuna kitu umekielewa hapoView attachment 924816
Yeah sure na I didn't need any explanation from him so far nilisema tu sizielewi basi naona amekwazika
Yes nimeelewa, asanteGemu loss Kuna kitu umekielewa hapoView attachment 924816