Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hiyo buku tatu nayo sio yangu.....ni ya advance bet
Advance bet ni kama vile wamekupa mkopo
Ina maana kuna mkeka ulikua umecheza kabla ya huo wa advance bet ukiwini ndio unatumika kulipa hiyo advance bet.
Kama usipotiki hata ule wa advance bet ukitiki huwezi kulipwa chochote
 
Advance bet ni kama vile wamekupa mkopo
Ina maana kuna mkeka ulikua umecheza kabla ya huo wa advance bet ukiwini ndio unatumika kulipa hiyo advance bet.
Kama usipotiki hata ule wa advance bet ukitiki huwezi kulipwa chochote
Wanarudisha kiasi ambacho ktabaki ukitoa hyo hela waliokuongeza...
Mjomba kisa cent 80 tuu kakoda laki hiv hiv halaf mara nyingi inakuwa ukikosea kustake
 
Mkuu Watu wadisign hii huwa siwaelewi wanakaa kuomba omba mikeka ya watu wavivu wa kufikirisha akili zao baada ya kuomba namna ya kupata pesa wenyewe wanaomba pesa. Wavivu sana na huko ni kujitafutia ukilema wa kupoteza pesa kizembe zembe.

Wanaoomba mikeka mara code ombeni strategies za kuwin na sibkucopy na kupest haikusaidii kitu siku kukiwa hakuna code au mkeka wa kutembelea huna ujanja.
Halafu watu baadhi wanasema eti tumempoteza mdau eti kisa mtu kuomba msaada! Hebu tujiulize wote humu kwa siku ya kwanza kutumia hiz app za kubet hatujawahi kuomba mtu yoyote Yule hata Kama sio humu kwenye jf atuelekezeee?

Pia terms and conditions huweza badilika pindi unapo update new vision, so tusikariri wadau! Na hii isiwe ndio ugomvi baina yetu, Kama unaona KERO kuulizwa ulizwa maswali piga kimyaa, watajibu wale ambao wanamoyo wa kufanya hivyo bila kukerwa!

Haya tuendelee na Kaz ya kujenga Taifa!!
 
Sjamuelewa kabisa Man city Leo.

Kona hapigi kabisa[emoji24]
Mi sina hata ham nae corner mbili kipindi cha kwanza kama sio uzembe ni nini daa michezaji full kukata viuno tu sijui hawajui kuwa watu tume invest pesa zetu huko
 
Wakuu,haya mambo ya kugombana yanatoka wap,halaf kuuliza si ujinga,.ukiweza mjib au kaa kimya,ila sio kuanza kulaumu laum..

Kuna wagen weng hum wanaingia daily hawajui apps,etc wanauliza wanajibiwa fresh tuu

Mbona ma legend kina deepond wanaulizwa wanajib fresh...

Af kuhusu kula au kuliwa betting ni kitu cha kawaida,learning from mistakes ndo nguzo

Mi nmeanza betting hata miez 3 haijafika,na nilikua sijui kitu,nikawa nauliza kina deepond na wengne wanakuelekeza fresh,namii nmekua expert now i can say,nakula na kuliwa pia,..siulizi nacheza mwenyew kimya kimya,na sometime napiga hela nzur tuu ma sometime napigwa had nakata tamaa...

So usijione betting guru humu,kama unajiona unajua sana bas jua kuna watu wanapiga hela na ni waviv tuu wa ku copy n paste mikeka na wapo kimya na wanaelekeza watu kama kawaida,.

Na hili ndo tatzo la ngoz nyeus..hatupend wengne watoboe

Hiv unadhan kurud page 200 za nyuma ni mchezo so mtu akiuliza unaeza jib au usijib,sio kuanza kutoa lawama kama mademu
 
Baada ya app za kimataifa kuleta mushker leo,bas nkasema sio kesi kwa mara ya kwanza nijarib hiz za bongo,fasta nika register sportpesa,...na premier

Daah...najuta,yaan..kwel ukizoea 1xbet hiz zingne utaona kero tu...

1.kwanza .Not user friend at allll
2.very slow,hazifai kwa live inshort
3.hazina option za kijanja kabsaaaa.
4.yaaan hovyooo,.

Na imebid nitumie sabab kiukwel siwez acha pesa za game za saa tano.

Ila kesho tuu nazifutilia mbal,taka taka kabsaaa
Umeona ehhhh! ndio vua gamba vaa gwanda.Huyo mjinga sportpesa kwanza mwizi, anachagua mechi za kuweka, dau lake la kianzio 1000/-, ukimla anakata pesa yako, hana option nyingi kama 1xbet, huwezi kuuza mkeka.Yaani kwa ujumla 1xbet ndo kila kitu.
 
Back
Top Bottom