Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Shukran mkuu nitaanza kuifanyia majaribio na mm, ubarikiwe kwa elimu ya bure uendelee kumpasua mrusi every damn day.
Kona nazcheza mara nyingi 2nd half, mara nyingi naweka under 8.5 total corners kwa game nzima na haijaniangusha so far
 
Kwa mfano hiyo hapo, usishangae dau ni dogo bado natest mitambo[emoji1] [emoji1]
Screenshot_20181104-172027.jpg
 
Sijaielewa ile site naomba unieleweshe vizuri mkuu sorry kwa usumbufu
Ile site inatoa matokeo ya mechi zinazoendelea na pia wanakuwa na statistics mbalimbali ya mechi hiyo mfano kona magoli nk.
 
Ila huu mchezo wa betting buana ni wa ajabu sana, yaani mtu unabet tu timu hata huijui ndani ya dk 45 unavuta mkwanja kimya kimya hahaaaa dah
 
Back
Top Bottom