Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hapo utakua hujifunzi
Ni sawa na mwanafunzi kuingia na nondo kwenye chumba cha mtihani
Uko sahihi mkuu huwa nawashangaa watu wanaoomba mtu apost kabla hajaplace bet hii haikusaidii kwa sababu siku asipopost na wewe huwezi bet hiyo option ya over 1 first half na hata ukibet utalost. Muhimu hao wenye kuiweza hiyo option watoe vigezo wanavyoangalia katika mchezo husika ama mbinu wanayoitumia kufanya hiyo selection huo ndio utakuwa msaada na hapo ndipo watu wataweza kujifunza.
 
Mkeka wa wote

1. Salzburg - Win F/T
2. Man City - Win H/T
3. BATE - Win H/T
4. Aik Win/Draw H/T
5. D.Zagred win/Draw H/T
6. Midtjylland - win/draw - H/T
7. New York Red bulls win/Draw F/T
 
Uko sahihi mkuu huwa nawashangaa watu wanaoomba mtu apost kabla hajaplace bet hii haikusaidii kwa sababu siku asipopost na wewe huwezi bet hiyo option ya over 1 first half na hata ukibet utalost. Muhimu hao wenye kuiweza hiyo option watoe vigezo wanavyoangalia katika mchezo husika ama mbinu wanayoitumia kufanya hiyo selection huo ndio utakuwa msaada na hapo ndipo watu wataweza kujifunza.
wewe hapo ndo umenena mkuu tatzo sio kupest mkeka wao tatzo ni sie kujifunza wapi tuanzie tuwe tunawela mastake makubwa
 
Nme withdraw toka saa saba had mda huu sjatumiwa mpunga,1xbet,..haijawai nitokea hata sku1,..
 
Aiseeeeeee!!!
Screenshot_20181104-152445~2.jpeg
 
Sas mbna kuna mkuu huko juu kaomba aelekezwe wao wanaangalia vitu gan au ni mbinu gan wanaitumia kweny in play ili na yey awe anaitmia kuliko kusubiria hzo code mpka sas hv hakuna aliyejtokeza wamekausha sio kwamb hawaijaiona hyo msg wameiona lakin wameamua kukausha

Ndio hapa linapokuja suala la sis hatuna ushirikiano tukisema tunaonekana tunaongea sana labda n wivu lakin sio kwel, toa mbinu watu waztmie ili watu waache kuomba code.
Uko sahihi mkuu huwa nawashangaa watu wanaoomba mtu apost kabla hajaplace bet hii haikusaidii kwa sababu siku asipopost na wewe huwezi bet hiyo option ya over 1 first half na hata ukibet utalost. Muhimu hao wenye kuiweza hiyo option watoe vigezo wanavyoangalia katika mchezo husika ama mbinu wanayoitumia kufanya hiyo selection huo ndio utakuwa msaada na hapo ndipo watu wataweza kujifunza.
 
Kuangalia tu mikeka iliyowon sio solution watu wanajitahid lakin wanafail sas anashangaa mbna wenzangu wanapatia mm nashindwa
 
Back
Top Bottom