Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

saa6 na robo mchana
"GAKA6"
1541321846361.png
 
Samahani naomba unielekeze hizo code zinawekwaje maana mimi nikifungua apk inaniletea direct game zilizopo sasa nashindwa kujua wapi pa kuziweka hizo code
Nenda bet slip, juu utaona kuna kabox kana mshale katikati upande wa kulia, bonyeza hapo itakuletea option ya Save bet or Download bet. Chagua download bet halafu ingiza hizo CODE.
Screenshot_20181104-120535~2.jpeg
 
Shukurani sana mkuu sasa tutakua tunaenda sambamba
jamani naombeni mwongozo wenu kwenye kucheza na hii 1xbet.apk ninayo ila sasa kila nikigusa nakutana na vitu vigeni ,tofauti kabisa na sport pesa.
changamoto ni jinsi ya kuweka hela na mengineyo,nakutana sana na hizi cord.
mwenye mda kidogo anipe mwanga hapa
ahsanteni
 
Anzia hapo,,nenda bonyeza kwenye mistari mitatu iliolala juu kushoto
Screenshot_20181104-140053.jpg
 
Back
Top Bottom