Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Weee acha tu na Leo nilimpania kwenye simba sema hajaweka mechi za Tanzania Leo.
Hahahah ashaanza kuogopa taratibu, hapa bongo kungekuwa na watu km wewe 100 hivi, mrusi angeifunga betting company yake kwa tz.
 
bila bayern kutia dosari mkeka wangu wa jana nilikuwa nampiga parefu mrusi.....

nahisi ni muda wa kumpa ban ya maisha bayern sasa hivi haaminiki....
 
Ama kweli nimeamini hizi kampuni nyingine zilikuwa zinatunyonya!! Nimefanikiwa kujiunga na Vladimir putini!!! Byeee mbet, mkeka, hakika 1xbet ni zaidi ya kampuni
 
1541190421022.png
 
Manchester City - Southam...
Player To Score A Goal
At Any Time

: Riyad
Mahrez
pick- No (1.615)
Chelsea - Crystal Palace
To Win By : W1 By 1
Goals pick- No (1.24)
TOTAL 2.03
 
Back
Top Bottom