Troublemaker
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,834
- 40,641
ndio maana hiyo option huwezi kuikuta kwenye match ambayo bado hakuna timu inayoongozaunacheza upya bila kujali matokeo yaliyopo kwa wakati huo.
mfano match ikiwa 2 - 0
halafu umeambiwa zero bet. iys means ukifanya machagua hayo matokeo hapo ni kama hayapo yani ashumu ni 0 -0
sasa ukiweka zero bet 1 {home team to win, ina maana timu ya nyumbani ishinde ina maana ukiondoa hayo matokeo ya wakati huo match iishe home win kashinda italazimu timu ya nyumbani ipate magoli mengine au jingine. ukiweka suluhu match ikaisha bila goli au labda wote wakascore 1 - 1 pia utakuwa umekula.
haina tofauti na ukiambiwa 'who will win after the rest score'