Ngoja tumsubilii bayern...
Wazee wa kubet no damudamu tuache kucharurana
Hapo sawa sina nenoDaaah hii game ya juve na man u ndo imeshindwa kabisa kutoa goli la 2
Ndonger, niko 50% kwa 50% kuhusu maoni yako.But let them do their homework if they want to master betting.Bila kusumbua akili yako kila siku utakuwa mzee wa maswali, bila kupunwa na kanjibhai hutojua kubet.Imekuwa bahati walau kuna platform siku hizi ya kutupatia tips za kubet kama hii JF.Sie tuloanza zamani kanjibhai ametupiga haswa,sio kwamba siku hizi hatupigwi la hasha! tunapigwa lakini sio sana kama zama zile.Inshort siku hizi mara nyingi tunampa kichapo yeye out of 10 slip nina uhakika wa kuwin 6-7slips.Itapobidi tutawajibu, but let them learn the hardway hamna namna.Wakuu,haya mambo ya kugombana yanatoka wap,halaf kuuliza si ujinga,.ukiweza mjib au kaa kimya,ila sio kuanza kulaumu laum..
Kuna wagen weng hum wanaingia daily hawajui apps,etc wanauliza wanajibiwa fresh tuu
Mbona ma legend kina deepond wanaulizwa wanajib fresh...
Af kuhusu kula au kuliwa betting ni kitu cha kawaida,learning from mistakes ndo nguzo
Mi nmeanza betting hata miez 3 haijafika,na nilikua sijui kitu,nikawa nauliza kina deepond na wengne wanakuelekeza fresh,namii nmekua expert now i can say,nakula na kuliwa pia,..siulizi nacheza mwenyew kimya kimya,na sometime napiga hela nzur tuu ma sometime napigwa had nakata tamaa...
So usijione betting guru humu,kama unajiona unajua sana bas jua kuna watu wanapiga hela na ni waviv tuu wa ku copy n paste mikeka na wapo kimya na wanaelekeza watu kama kawaida,.
Na hili ndo tatzo la ngoz nyeus..hatupend wengne watoboe
Hiv unadhan kurud page 200 za nyuma ni mchezo so mtu akiuliza unaeza jib au usijib,sio kuanza kutoa lawama kama mademu
Mm nimeuza sitaki preshaView attachment 925322
Umepishan na pesaMm nimeuza sitaki preshaView attachment 925322
Sio mbayaMm nimeuza sitaki preshaView attachment 925322
Mkuu washaanza kudeposit?Aisee, kumbe nilimuweka Mara mbiliView attachment 925325
Aisee, kumbe nilimuweka Mara mbiliView attachment 925325
Daaash thanks god asee View attachment 925324
Ila bob wee uko nondo sana mwamba sema kuna wana tunahitaji sana msaada wako sema ndo ivyounajenga ukuta mkubwa sana kati yetu sisi na wewe mzee why broAisee, kumbe nilimuweka Mara mbiliView attachment 925325