Dionize N
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 1,848
- 3,298
Tumia emailNimeshindwa kujiregister kupitia mobile number
Tumia emailNimeshindwa kujiregister kupitia mobile number
Hahah we upo kama mm. Na kadi pia unakuta dk 76 kadi hakuna hlf unaeka under 3.5, dk 90 kadi zishatoka 3 hlf ule mda mchafu wanaoongeza ndy huwa naliwa mana wanaongeza mda mwing hadi zinazd au kona pia zinazid. Au naeka over zinagomaKina sizitaki tena,na sidhani kama ntakuha betia kona,
Jana zimenipukutisha sana kidogo niishiwe, imagine mechi unaipa under 12.5 kona na wakati huohuo wana kona 5 tu second half tena dakika ya 73 hv,
Yani zikaanza kumwagika ka mvua ya elnino.
Mpaka dakika 90'+ wana kona 13 na mkeka kwaheri.
Kwahiyo ni bora nitumie njia nyingine tu katika betting na siyo kona mzee.
Stake refunded, NO LOSS.Weka pesaView attachment 924033
Weka pesaView attachment 924033
Stake refunded, NO LOSS.
Safi mkuu, ulijiongeza.Niliifuata kwa 1.5
BadoobarxPole sana ndio ukubwa huo mkuu siku mambo yakikataa ni kumrudishia tu mrusi pesa zake, hiv kwel liver ni kupigwa mbili kavu na hawa madogo yaan kashindwa kutoa hata over 0.5 kwel?
Mchawi WA betting hatar
uefa kama kombe la dunia tu yan timu za watoto uefa nimepiga lak na nusu nimepigwa lak liver huyo had sasa tot nae ndo huyu anasepa na laki jana metz kaenda na na 80k mm ntakuwa nasubir zangu jmosi na jpili tu kama mwendo huu timu hazielewek
Weka 0.5 game ya barca ule mapesa
Hehe Won!! Ahsante mkuu
Over....imetoaaaWeka 0.5 game ya barca ule mapesa
Nasubir Psg bado kona moja tuu
Tumia email