The Thugs001
JF-Expert Member
- Sep 13, 2018
- 471
- 974
Yanii mkuu niwe na uwezo wa kufanya mishe zangu nikaingiza or nikapata milion 1 then nirisk milion 1 kwa kupata elfu 50? Mkuu si bora niendeleze mishe zangu nikaingiza tu hio 50..huyu mtu aliyebet ivyo alikuwa ni mshamba wa neno WON ktk mikeka yake ila mwana betting awezi kubet ivyo mybe nitie milion 1 nisubiri milion 2..sio milion nisubiri elfu 50 NI USHAMBAA WA WONMkuu wewe unashangaa hii, watu wanaweka milioni wapate elfu hamsini.