Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

In play
Screenshot_20181108-114332.jpeg
 
Dear user,

Unfortunately, there are technical problems with Tanzanian mobile payment methods at the moment. Our specialists are doing their best to resolve this issue. Please wait for your funds to be credited to the account.

Best regards,

1xBet Customer Support Team.

Aiseee vipi nanyi wenzangu bado hili tatizo
 
Kwan kuna zawadi unapewa mkuu ukiendelza haya mabishano??achana nayo mkuu..hata wakiandika nini wapotezee
Wengine humu mawakala wa kanji msishangae sana, hawapendi kuona umoja wetu humu kwahy wanakuja na mbinu ya kutuvuruga na maswali ya kijinga, malumbano na mipasho ili wenye akili timamu wakate tamaa ya kupost hata mikeka then lengo lao litimie, muwapuuze tu wakuu tuendeleze umoja
 
Aisee.. Umewaza kama mimi mkuu!!
Wengine humu mawakala wa kanji msishangae sana, hawapendi kuona umoja wetu humu kwahy wanakuja na mbinu ya kutuvuruga na maswali ya kijinga, malumbano na mipasho ili wenye akili timamu wakate tamaa ya kupost hata mikeka then lengo lao litimie, muwapuuze tu wakuu tuendeleze umoja
 
Dear user,

Unfortunately, there are technical problems with Tanzanian mobile payment methods at the moment. Our specialists are doing their best to resolve this issue. Please wait for your funds to be credited to the account.

Best regards,

1xBet Customer Support Team.

Aiseee vipi nanyi wenzangu bado hili tatizo
1541669063864.png
kwangu zimerudi fresh ila sija jaribu kutoa pesa huku
 
Wakuuu twendeni KAZI acheni ngonjera na Majungu kila mtu abet anavyoweza kila mtu apokee mawazo ya mwanzie km unayaona ayana Faida unapiga kimya tu iwe beeting, iwe biashara, iwe mchezo ya bahati yote ni sawa..tia 500 upate laki ni sawa tia elfu 10 upate elfu 12 ni sawa twendeni kazi wazee
 
Back
Top Bottom