kuna njia gan nyingine mkuu me nafahamu hio tuWewe unatopup kwa njia ya app kwanini usikwame?
Kweli yani kumekua kama jukwaa lawamama ...mikeka hakuna lakin umbea mlimaUku nako story zimekuwa nyingi mno mpaka kunakera....emb tupieni mikeka bhn maneno waachie wapemba
[emoji120][emoji1666]
shukrani mkuu ,[emoji817]Sell unauuza mkeka wako kwenye system,
Kama umebetia let's say 1000, system ikileta neno 'SELL' gharama ya mkeka kuuza ni chini ya pesa yako uliyobetia.
System italeta pungufu ya hela yako,mfano, 1000 utauza 970,wao watapata faida sh.30 ikiwa unataka kuu-cancel mkeka wako.
Pesa ambayo utaipata baada ya kusell itajazwa kwenye main account yako, na mkeka ambao tayari uliousell utakuwa na zero amount.
Kiwango cha pesa kwenye sell kinapanda kulingana na mechi ulizozibetia zikizidi kushinda,automatic SELL hutokea.
Maana halisi ya neno SELL ni kuuza,
Ukimaliza kuplace mkeka wako, na ukagundua kuwa una makosa sehemu, basi waweza kuuza, ili huo mkeka uachane nao, na robo tatu ya hela yako itarudishwa ,na wao hawatakuachia hela yote,
Badala yake wanatoa asilimia ndogo.
Guangdon vs Guangzhou over 233.5 twendeni
Wameniambia unable to place bet
Nimejaribu kweli hii michezo ya kiume nimeshindwaaa.......aaagh kwaherini
Hamna mchezo unanipa pesa kama basketball adhabu nayopata ni kuamka saa 9 usiku na kukaa macho hadi saa 2 asubuhi
Oya mzee tutembee wote hata kama n usiku we tuma hzo gameHamna mchezo unanipa pesa kama basketball adhabu nayopata ni kuamka saa 9 usiku na kukaa macho hadi saa 2 asubuhi
Jitahid kupitiaa thead zilizopitaa mtandao wao una tatizo kwa mudaMsaada huduma kwa wateja 1xbet
Duh mkuu mbona km wamelingana au mi hapa sijaelewa?Jamani mrusi anapigika ila siyo huyu mla pilipili View attachment 925954
Mkuu kwahiyo hiyo iliyopita umechukuaa??
Oya mzee tutembee wote hata kama n usiku we tuma hzo game