Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

In play
Screenshot_20181108-151431.jpeg
 
mechi ya saa kumi kamili

chalton athletic u 23 vs stoke city u 23
full time over 1.5 au both team to score. hii ni pesa ya jioni wadau
 
Huwa unacheza kwa quarter mkuu au direct win? Au handcap hapa kama mkuu Wimick, hebu tupe trick mkuu kama ipo maana kutoboa huku unapiga pesa ya mrusi hakika ni jambo jema.
Hamna mchezo unanipa pesa kama basketball adhabu nayopata ni kuamka saa 9 usiku na kukaa macho hadi saa 2 asubuhi
 
Code kwa in play huwezi ikuta hii NI basketball siyo football yaani hi inahitaji uwe shapu na siyo ubet Kama nilivoweka maana unaweza kuta odd zimepungua au zimeongezeka hapo inabidi na ww ujiongeze
Ok nmekupata mkuu[emoji848]
 
Back
Top Bottom