Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

mkuu usibishane nae avatar yake yenyewe inaonyesha amejoin 2018,alihic huku kwa muhindi kuna pesa za buree.
Mkuu ivi quarter moja ya basketball huchezwa kwa dakika ngap na quarter zotr nne zinakuwa na dakika ngapi
 
Mbona wadau wanalalamika 1xbet kudeposit na kuwithdrawal mbona ipo faster tuu..apa nimetoka kuweka..kutoka itawadia soon
 
Mbona wadau wanalalamika 1xbet kudeposit na kuwithdrawal mbona ipo faster tuu..apa nimetoka kuweka..kutoka itawadia soon
mkuu ivi quarter moja ya basketball huchezwa kwa dakika ngap na mchezo mzima kwa ujumla wake unatumia dakika ngapi boss
 
In play
Screenshot_20181108-165022.jpeg
 
Mkuu quarter moja ya basketball huchezwa kwa dakika ngap na na je quarter nne zinakuwa na dakika ngsp kwa ujumla wake plz mkui
Quarter 1 dk 10 ila wachina,NBA na Philippines NI dk 12 so Kuna dk 40 full time na 48
 
Mkuu naomba darasa hapo kwenye handicap unaangalia vigezo gani kutoa handicap hiyo mkuu, nifafanulie mkuu wangu tafadhali!
Naangalia h2h na hiyo siku Nani kaanza kufunga na NI Nani akianza huwa anatoa vikapu vingi vile vile na tofauti ya vikapu kwenye quarter
 
Back
Top Bottom