Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Waliofuata WOON
Screenshot_20181108-161310.jpeg
 
mdau watu wameweza kufungua biashara unazoziamini wewe kupita kwenye betting tambuwa kwamba betting ni fursa kwa mtu makini, watu wamezalisha biashara zingine mtaji umetoka kwenye betting wewe unataka kutueleza nini leo hii, kuna mtu kila siku anacheza milioni 2 ili apate laki moja kwa siku na anaipata kila siku, mdau ukiwa na malengo kwenye kubeti nakwambia hata kazi hizi za kuajiliwa utaona upuuzi tu niamini mimi, tatizo sisi wabongo tunabeti pasipo na malengo lazima uwe na maamuzi kuwa kwa siku natakiwa nipate kiasi gani kikifika hicho kiasi hutakiwi kubeti tena hata kama kutakuwa uwezekano wa kuongeza mfano mimi kwa siku nikifikisha elfu 30,000 tsh basi huwa sibeti tena mpaka siku nyingine, na mtaji wangu ni elfu 20,000 tsh tu, na kupitia hii betting nimeweza fanya mambo yangu mbalimbali.
wabonge bhana vipigo vikiwazidi mnaanzisha malumbano,shem on nyie.
 
Mkuu biashara zote ni sawa na betting coz tuma weka pesa na hatuna uhakika na tunachokitarajia
mkuu usibishane nae avatar yake yenyewe inaonyesha amejoin 2018,alihic huku kwa muhindi kuna pesa za buree.
 
Back
Top Bottom