wakali ndondo
JF-Expert Member
- Jun 12, 2017
- 583
- 908
Mkuu unatumia app gan kuchek stats zao au unagoogleeNaangalia h2h na hiyo siku Nani kaanza kufunga na NI Nani akianza huwa anatoa vikapu vingi vile vile na tofauti ya vikapu kwenye quarter
Mkuu unatumia app gan kuchek stats zao au unagoogleeNaangalia h2h na hiyo siku Nani kaanza kufunga na NI Nani akianza huwa anatoa vikapu vingi vile vile na tofauti ya vikapu kwenye quarter
Asante sana mkuu.Handicap 1 (- ) manaake unamwondolea vikapu kadhaa home team. Ili bet iwe won wanachukua vikapu alivyopata toa(-) vikapu alivyopewa hadcap. Jumla ya idadi akimzidi away team basi ni bet won.
Handicap 2 (-) maanaake unamwondolea vikapu kadhaa away team. ili bet kuwa won wanachukua vikapu alivyopata toa(-) vikapu alivyopewa hadcap, idadi ikimzidi home basi ni won.
Handicap 1(+) maanayake unamwongezea vikapu home team, ili bet kuwa won wanachukua vikapu alivyopata jumlisha(+) vikapu alivyopewa handicap, jumla hiyo akimzidi mwezie basi ni bet won.
Handicap 2 (+) unamwongezea vikapu away team, ili bet iwe won inajumuloshwa vikapu alivyopata + vikapu alivyoopewa handicap, akimzidi mwenzake ndio inakua bet won.
Aiseee kumbee vzr bacHandicap 1 (- ) manaake unamwondolea vikapu kadhaa home team. Ili bet iwe won wanachukua vikapu alivyopata toa(-) vikapu alivyopewa hadcap. Jumla ya idadi akimzidi away team basi ni bet won.
Handicap 2 (-) maanaake unamwondolea vikapu kadhaa away team. ili bet kuwa won wanachukua vikapu alivyopata toa(-) vikapu alivyopewa hadcap, idadi ikimzidi home basi ni won.
Handicap 1(+) maanayake unamwongezea vikapu home team, ili bet kuwa won wanachukua vikapu alivyopata jumlisha(+) vikapu alivyopewa handicap, jumla hiyo akimzidi mwezie basi ni bet won.
Handicap 2 (+) unamwongezea vikapu away team, ili bet iwe won inajumuloshwa vikapu alivyopata + vikapu alivyoopewa handicap, akimzidi mwenzake ndio inakua bet won.
Achana nao hao ni wapumbavu dawa ya mpumbavu ni kumkalia kimya au umjibu kwa hekima avimbe kichwa aendelee kumwaga upumbavu wakeUnarudia kuuliza swali tena akichukia huyu jukwaa lote litakugeukia
Nakufatlia tangu Asubh Mikeka yote na nimekula ulipokula na nimeliwa ulipoliwa. Cjawah bet basketball ila nafanya Copying tuu chap chap!! Naona wengn wengn ni kuuliza tu maswaliii. Mkuu ahsante nimeingiza leo 343080.45tsh. Nasubr mshahara sasa wa mwisho wa mwezWaliofuata WOON..... Asante Mungu jioni njema wapendwaView attachment 926549
Kama bado hujaelewa mkuu, pitia upya maelezo yangu yanajitoshelezaAsante sana mkuu.
1(-2.5) ina maana wakimwondolea vikapu Vitatu kati ya 20 ashinde sio?
2 (2.5) ina maana away akipewa vikapu 3 amshinde Home?
Nadhani naelekea kuelewa. View attachment 926604
Kila la kheri mkuu!Aiseee kumbee vzr bac
km sikosea kota 1 dkk 12 bila OTMkuu naomba darasa hapo kwenye handicap unaangalia vigezo gani kutoa handicap hiyo mkuu, nifafanulie mkuu wangu tafadhali!