Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Sorry hivi ukishafunguaa hiyo code then wht next???
Ukifungua nenda chini kwenye betslip fungua kama unataka kubet vile the ukifungua kwa juu kuna ka kimshale kinaonyesha kwenda kulia bonyeza hicho utaletewa option ya download hapo ndo unaingiza hizo code
 
Kizungu unajua ila kutafuta maarifa hutaki unaulizauliza tu kila siku,,,shule hazijafunguliwa? Jishughulishe ujue vitu mkuu,
Thnk u for bein rude umenifanya akili ikacheza nikaelewaa.....[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…