Kikinga
JF-Expert Member
- Oct 6, 2015
- 2,098
- 2,002
KawaidaNimepukutishwa kibubu changu chote daah nimekuwa mpoleee
KawaidaNimepukutishwa kibubu changu chote daah nimekuwa mpoleee
Nasubiri mida iende nikadipozitKawaida
Sijui na wenzangu wanaziwahi hizi codes? Au ni kwangu tu nnayekuta zipo empty,YJCP6
Tatizo ni mtandao hivyo zinachelewa kutufikia lakini relax tuSijui na wenzangu wanaziwahi hizi codes? Au ni kwangu tu nnayekuta zipo empty,
Yeah,,,changamoto ya code ni kubwa kuliko game yenyewe ikipostiwa, hata ukiichelewa utaokota odd kadhaa, ila codes hukuti chochote, waumini wa codes wenyewe waliokuwa wanazitaka sana siwaoni sahiviTatizo ni mtandao hivyo zinachelewa kutufikia lakini relax tu
Kikinga is there any possblity ya kuchange number ya simu kwenye xbet??airtel is killing me softlyTatizo ni mtandao hivyo zinachelewa kutufikia lakini relax tu
Leo network mitandao yote haipo pouwaa so acha tu usibadili japo inawezekana kubadiliKikinga is there any possblity ya kuchange number ya simu kwenye xbet??airtel is killing me softly
Yeah,,,changamoto ya code ni kubwa kuliko game yenyewe ikipostiwa, hata ukiichelewa utaokota odd kadhaa, ila codes hukuti chochote, waumini wa codes wenyewe waliokuwa wanazitaka sana siwaoni sahivi
Leo network mitandao yote haipo pouwaa so acha tu usibadili japo inawezekana kubadili
Fungua 1xbet kupitia chrome usitumie appMi tatizo ni kudeposit since juzi haikubali so i want to use tigo now
Log out, the log inDaah leo 1xbet niki bet mikeka inapotea na salio halipungui ila nikitaka kubet Tena kwa kiasi kile kile naambiwa not enough
OkLog out, the log in
Daah leo 1xbet niki bet mikeka inapotea na salio halipungui ila nikitaka kubet Tena kwa kiasi kile kile naambiwa not enough
Mkuu wengine ukituma mkeka kama ilivyo kuna kitu tunajifunza. Unavyotuma code hivi hakika haitasaidia. Wengine tunapenda maarifa kuliko kutafuniwa. Hebu fikiria Siku utakua haupo hapa jamvini waliozoea hivi watafanyaje?.6ACP6
Mkuu kama hutojali urudi kwenye kupost mkeka tu hizi codes leo sjaambulia hata na sioni yeyote anayesema kazifuataAC2P6
Watu tunafuata ila tunazichelewaMkuu kama hutojali urudi kwenye kupost mkeka tu hizi codes leo sjaambulia hata na sioni yeyote anayesema kazifuata
Hiyo ndo shida, mkeka halisi ht ukichelewa unaufuata tu tofaut na code ikizngua ndo bas tenaWatu tunafuata ila tunazichelewa