Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Tatizo ni mtandao hivyo zinachelewa kutufikia lakini relax tu
Yeah,,,changamoto ya code ni kubwa kuliko game yenyewe ikipostiwa, hata ukiichelewa utaokota odd kadhaa, ila codes hukuti chochote, waumini wa codes wenyewe waliokuwa wanazitaka sana siwaoni sahivi
 
Now ur dancing kwenye my beat ...swali langu kilikuwa ndo hilo kilaa saa nakuta empty nikadhani sijui how to kuweka codes kumbe ni mtandao
Yeah,,,changamoto ya code ni kubwa kuliko game yenyewe ikipostiwa, hata ukiichelewa utaokota odd kadhaa, ila codes hukuti chochote, waumini wa codes wenyewe waliokuwa wanazitaka sana siwaoni sahivi
 
Nilijua ni kwangu tu maana nahangaika toka hasubuhi sana ila hamna kitu nabet mkeka unakuwa succesful processed ila ukienda kwenye bet history hauukuti bas ndio nabaki nakodoa tu hapa.
Daah leo 1xbet niki bet mikeka inapotea na salio halipungui ila nikitaka kubet Tena kwa kiasi kile kile naambiwa not enough
 
Mkuu wengine ukituma mkeka kama ilivyo kuna kitu tunajifunza. Unavyotuma code hivi hakika haitasaidia. Wengine tunapenda maarifa kuliko kutafuniwa. Hebu fikiria Siku utakua haupo hapa jamvini waliozoea hivi watafanyaje?.
 
Hahahah watu wajuaji saana nimelalammika mm mkaniona sijielewi bt now wote mnaliliaa liaa hapa wamicky twende kazi.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…