Mwamba uki ingia kwenye App ya 1× pale kwenye bet history kwa juu si hua unaona wana kuandikia idadi ya bet ulizo chezq na kiasi ulicho tumia kucheza na kiasi ulicho win?Wakuu unajuaje umetumia kias gn nakuliwa kias gn
Hahhahaa Sungusungu hiyo kitu hamna mzee babaSema basi ww dodo
Daah...nimeichelewa
Ile k2 inayooneshwaga pale juu kabisa huwa ni nn ileHahhahaa Sungusungu hiyo kitu hamna mzee baba
[emoji23][emoji3][emoji16]Mzee baba na ww leo unategea kama sisi ma learner eehew[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji3][emoji16]
NgapNIMELIWA LAKI3 M
NIMELIWA LAKI3 M
Hahah bila ya kwenda naye sambamb hakka mchana[emoji1642][emoji492] huon[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]nakuonaa unvyochomoza kwenye won