Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wakuu unajuaje umetumia kias gn nakuliwa kias gn
Mwamba uki ingia kwenye App ya 1× pale kwenye bet history kwa juu si hua unaona wana kuandikia idadi ya bet ulizo chezq na kiasi ulicho tumia kucheza na kiasi ulicho win?

Wame andika ivi
From. to
Date dd/mm/yyyy..... dd/mm/yyyy

Betsxx(Amount)............Amount Won(*****)

Ni ww kuset tarehe zako utaweza kupata izo details
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…