hahahahah lazima mrusi akae mzee baba tupo tunawinda game ya los angelsHii shule ya basketball nimeipenda sana.. Nikiwa mafunzoni kutafuta mkakati wa kumuumiza Mrusi, afu Leo tu nimeingiza elfu 50 nikiwa bado namfanyia fildi Mrusi, nikiwa bado mwanafunzi Mchanga kabisa sijui nikikomaa kwenye basketball Mrusi atanibebea mbeleko gani?View attachment 929375
usikate tamaa ndo biashara ilivyo mzee babaYaliyotokea hayafurahishi[emoji15] [emoji15] View attachment 929377
Umetsha xana mwanafunz[emoji4]Hii shule ya basketball nimeipenda sana.. Nikiwa mafunzoni kutafuta mkakati wa kumuumiza Mrusi, afu Leo tu nimeingiza elfu 50 nikiwa bado namfanyia fildi Mrusi, nikiwa bado mwanafunzi Mchanga kabisa sijui nikikomaa kwenye basketball Mrusi atanibebea mbeleko gani?View attachment 929375
Yaani hadi siamini maana naokota tu hela kirahisi sana. Basketball kwanini hatukufahamiana mapema? Ulikuwa wapi? Mrusi alipokuwa ananihadhirisha?hahahahah lazima mrusi akae mzee baba tupo tunawinda game ya los angels
Kama kawaida inplay sana ila uku napo tunajaribuusikate tamaa ndo biashara ilivyo mzee baba
Kazi nzuri sana huwa nafurahi sana ninapoona wadau mnampiga hyu mla pilipili hatuna ukoo nae hyu [emoji1] [emoji1] huku mkuu hautajuta basketball tamu sanaHii shule ya basketball nimeipenda sana.. Nikiwa mafunzoni kutafuta mkakati wa kumuumiza Mrusi, afu Leo tu nimeingiza elfu 50 nikiwa bado namfanyia fildi Mrusi, nikiwa bado mwanafunzi Mchanga kabisa sijui nikikomaa kwenye basketball Mrusi atanibebea mbeleko gani?View attachment 929375
kwa hiyo football uchezi tena mzee baba, leo football nimeikimbia mazimaYaani hadi siamini maana naokota tu hela kirahisi sana. Basketball kwanini hatukufahamiana mapema? Ulikuwa wapi? Mrusi alipokuwa ananihadhirisha?
3way mkuuuMkuu hivi hizo za kijani ina stand kama magoli yatakayofungwa au??
Nimethibitisha hili .. Hata ukiwa na tamaa basketball unapiga hela, ndio mchezo pekee ambao odds 1.2 unaweza kuweka laki tano na ukawa na uhakika hauliwi hata iweje ila sio kwenye football hata odds 1.06 kushinda ni tizi... The game is very fast, lot of skills, ability, talent and pure bunch of professional players.Kazi nzuri sana huwa nafurahi sana ninapoona wadau mnampiga hyu mla pilipili hatuna ukoo nae hyu [emoji1] [emoji1] huku mkuu hautajuta basketball tamu sana
Ambayo ni draw win and loose eehee? Sasa hizo 1 na 2 zinastand kama nn3way mkuuu
Football natokea kimazabe sana siku hizi.. Basketball ni Karanga za kuonjeshwa tu, ila football ndio home though home pakimaskini sasa nimepata home pakishua.kwa hiyo football uchezi tena mzee baba, leo football nimeikimbia mazima
Kabisa mkuu aisee mi basketball ndo kila kitu kwangu football nishasahau hata kubet maan ni full stress niliwahi weka kilo nasubiria goal moja tu nimpige mhindi yaani makalio that day aisee yalikuwa mpaka yanavibrate sina hamu huko daaaNimethibitisha hili .. Hata ukiwa na tamaa basketball unapiga hela, ndio mchezo pekee ambao odds 1.2 unaweza kuweka laki tano na ukawa na uhakika hauliwi hata iweje ila sio kwenye football hata odds 1.06 kushinda ni tizi... The game is very fast, lot of skills, ability, talent and pure bunch of professional players.
Naona basketball itatukomboa wazawa.
Jitahid uwe una stake kuanzia Tsh 1000Naombeni mnitukane[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]View attachment 929267
hahahahaha ila nakukumbusha tu kwenye basketball usipende kucheza under ni hatari sana tena ligi kama NBA usicheze under mbaba watu wanapiga vikapu hatari jombaa angalia gemu ya los angels muda huu point zimeenda ova 240 hukoFootball natokea kimazabe sana siku hizi.. Basketball ni Karanga za kuonjeshwa tu, ila football ndio home though home pakimaskini sasa nimepata home pakishua.
hahahahahahahahahah football ni kiazi jombaa tena siku ya kuweka pesa nyingi ndo timu huwa inapata goli kwa tabu sana acha kabisa hayo usemayo hata mimi yameshanitokea mzee babaKabisa mkuu aisee mi basketball ndo kila kitu kwangu football nishasahau hata kubet maan ni full stress niliwahi weka kilo nasubiria goal moja tu nimpige mhindi yaani makalio that day aisee yalikuwa mpaka yanavibrate sina hamu huko daaa
Hahahaa daa aisee nihatari sana hyo mambo bora huku kwa basketball mkuuhahahahahahahahahah football ni kiazi jombaa tena siku ya kuweka pesa nyingi ndo timu huwa inapata goli kwa tabu sana acha kabisa hayo usemayo hata mimi yameshanitokea mzee baba
sasa ngoja nisubir game za saa tisa mzee baba haina kulala basketball ndo shamba letu kwa sasaHahahaa daa aisee nihatari sana hyo mambo bora huku kwa basketball mkuu
Haswaa mi mwenyew navizia hizo ngoja nikute nakuza mtaji kidgo hapa baadae mkuusasa ngoja nisubir game za saa tisa mzee baba haina kulala basketball ndo shamba letu kwa sasa