Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

hahahahah lazima mrusi akae mzee baba tupo tunawinda game ya los angels
 
Kazi nzuri sana huwa nafurahi sana ninapoona wadau mnampiga hyu mla pilipili hatuna ukoo nae hyu [emoji1] [emoji1] huku mkuu hautajuta basketball tamu sana
 
Kazi nzuri sana huwa nafurahi sana ninapoona wadau mnampiga hyu mla pilipili hatuna ukoo nae hyu [emoji1] [emoji1] huku mkuu hautajuta basketball tamu sana
Nimethibitisha hili .. Hata ukiwa na tamaa basketball unapiga hela, ndio mchezo pekee ambao odds 1.2 unaweza kuweka laki tano na ukawa na uhakika hauliwi hata iweje ila sio kwenye football hata odds 1.06 kushinda ni tizi... The game is very fast, lot of skills, ability, talent and pure bunch of professional players.

Naona basketball itatukomboa wazawa.
 
Kabisa mkuu aisee mi basketball ndo kila kitu kwangu football nishasahau hata kubet maan ni full stress niliwahi weka kilo nasubiria goal moja tu nimpige mhindi yaani makalio that day aisee yalikuwa mpaka yanavibrate sina hamu huko daaa
 
Football natokea kimazabe sana siku hizi.. Basketball ni Karanga za kuonjeshwa tu, ila football ndio home though home pakimaskini sasa nimepata home pakishua.
hahahahaha ila nakukumbusha tu kwenye basketball usipende kucheza under ni hatari sana tena ligi kama NBA usicheze under mbaba watu wanapiga vikapu hatari jombaa angalia gemu ya los angels muda huu point zimeenda ova 240 huko
 
Kabisa mkuu aisee mi basketball ndo kila kitu kwangu football nishasahau hata kubet maan ni full stress niliwahi weka kilo nasubiria goal moja tu nimpige mhindi yaani makalio that day aisee yalikuwa mpaka yanavibrate sina hamu huko daaa
hahahahahahahahahah football ni kiazi jombaa tena siku ya kuweka pesa nyingi ndo timu huwa inapata goli kwa tabu sana acha kabisa hayo usemayo hata mimi yameshanitokea mzee baba
 
hahahahahahahahahah football ni kiazi jombaa tena siku ya kuweka pesa nyingi ndo timu huwa inapata goli kwa tabu sana acha kabisa hayo usemayo hata mimi yameshanitokea mzee baba
Hahahaa daa aisee nihatari sana hyo mambo bora huku kwa basketball mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…