Mr. Marangu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2013
- 1,574
- 1,595
Namna ya kujumlishia ndio kizaazaa unaezakuta unastake balance yote [emoji2]Mbona kama umeridhika mapema Kiongozi? Umeelewa ulichouliza na ulivyojibiwa😎
Ma Mae zakeInter anasepa na kijiji
SiaiminMa Mae zake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huu mchezo hauhitaji hasiraMa Mae zake
Hapana yaani uwe umeishiwa kabisa au unataka kibet mkeka ila salio lako ni dogo so ukiandika zaidi ya kiasi ulichonacho wao watakwambia unahitaji kutumia salio okIna maana hiy advance salio liwe maradufu?
Hilo salio wanalokuba watalichukua baadae ukija kuwin?Hapana yaani uwe umeishiwa kabisa au unataka kibet mkeka ila salio lako ni dogo so ukiandika zaidi ya kiasi ulichonacho wao watakwambia unahitaji kutumia salio ok
Mkuu ikitokea WON hawatababaisha kwenye kulipaSalio harisi ni 10000 so mkeka wako ukitaka jumlisha na hyo 5000 wanayokuonyesha
Uko vzr[emoji122][emoji122]
Hakikisha mkeka uliobet kwa salio harisi umetiki maana kwenye huo mkeka wako ndo watakata salio walilokuazimaMkuu ikitokea WON hawatababaisha kwenye kulipa
Kaharibu mipango mshenzi Inte MilanoSiaimin
Hapo ndo nilitaka kujuaHakikisha mkeka uliobet kwa salio harisi umetiki maana kwenye huo mkeka wako ndo watakata salio walilokuazima
Wapigie mlipa40000/= mpaka saiv kimya
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] nn sasa umepigwadah ama kweli
Inter huyo[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] nn sasa umepigwa