Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kwahiyo,hii options ya blocks ni kwa ligi ya NBA tu?
Na katika kuselect,unawajumuisha wote yaani total under/over na siyo single select mfano,
total 1 under/over au total 2 under/over?

Na ipi ni risk au safe katika chaguzi ukichukua single total au wote kwa pamoja?

Na ligi ya NBA huchezwa Siku gani? au Mara ngapi kwa wiki!?
1) Option hii ni kwa mechi Jumla sio ya kuchagua timu moja moja
2)Safe chaguo ni under hata ukipoteza kamuda ingia Flashscore angalia kwa mechi zao za nyuma utaona ni Mechi chache kati ya 15 ni mbili au 3 ndio zinaweza kuwa na blocks zaidi ya 10.
3) NBA wanacheza kila siku kila Baada yaani kila siku mkuu unaweza unacheza Leo kesho unacheza tena unapumzika siku moja unacheza tena. Ni kila siku haina cha Jumapili wala Sabato wala ijumaa ni kila siku. Timu 30 lakini kwa msimu kila team inacheza Mechi 82, 41 nyumbani 41 ugenini kifupi jumla zinachezwaga mechi zaidi ya 1230 kwa msimu ,Regular kabla hawajaingia play-offs... Hahaaahaaaaa
 
Ubaya wa huu mchezo kupigwa ni dakika 0 tuu unakuwa mweupeeee! Mm nimepigwa hapa nimebaki mweupeee nilikuwa naweka over quarter ikianza yanaanza kwa kasi yanapigana wee ikifika dakika ya 7 speed inapungua kabisaaaa unakuta vimebaki vikapu 14 umpige mrusi mara dakika ya 9 na sec 45 unaangalia game live unakuta s£nge moja linadundisha dundisha mpira huku limesimama badala ya kuweka kwenye nyavu mara paap game finished ulibalikiza kikapu kimoja ngoma insoma LOSS
hahahaahaaaha
 
WAKUUU TUJARIBU NA HUU PIA,
NB:TU STAKE TUNACHOWEZA KUPOTEZA.

Event: Arsenal v Wolves
Market: Match Result
Selection: Arsenal
Price: 1.6154
Results: N/A
In Play: No
Event: Atalanta v Inter Milan
Market: Double Chance
Selection: Inter Milan or Draw
Price: 1.4444
Results: N/A
In Play: No
Event: Rangers v Motherwell
Market: Total Goals - Over/Under 1.5
Selection: Over 1.5 goals
Price: 1.2222
Results: N/A
In Play: No
Event: Fenerbahçe v Alanyaspor
Market: Total Goals - Over/Under 1.5
Selection: Over 1.5 goals
Price: 1.2
Results: N/A
In Play: No
Event: FC Zürich v FC Sion
Market: Total Goals - Over/Under 1.5
Selection: Over 1.5 goals
Price: 1.2
Results: N/A
In Play: No
Event: RB Leipzig v Bayer Leverkusen
Market: Total Goals - Over/Under 1.5
Selection: Over 1.5 goals
Price: 1.1667
Results: N/A
In Play: No
Event: Sassuolo v Lazio
Market: Total Goals - Over/Under 1.5
Selection: Over 1.5 goals
Price: 1.25
Results: N/A
In Play: No
Event: Krasnodar v Yenisey
Market: Match Result
Selection: Krasnodar
Price: 1.3636
Results: N/A
In Play: No
Event: FC Midtjylland v Vejle Kolding
Market: Match Result
Selection: FC Midtjylland
Price: 1.25
Results: N/A
In Play: No
Event: St Gallen v Young Boys
Market: Double Chance
Selection: Young Boys or Draw
Price: 1.1667
Results: N/A
In Play: No
 
Liwalo na Liwe.
Screenshot_2018-11-11-10-36-50-265_com.bet365Wrapper.Bet365_Application.jpeg
 
WAKUUU TUJARIBU NA HUU PIA,
NB:TU STAKE TUNACHOWEZA KUPOTEZA.

Event: Arsenal v Wolves
Market: Match Result
Selection: Arsenal
Price: 1.6154
Results: N/A
In Play: No
Event: Atalanta v Inter Milan
Market: Double Chance
Selection: Inter Milan or Draw
Price: 1.4444
Results: N/A
In Play: No
Event: Rangers v Motherwell
Market: Total Goals - Over/Under 1.5
Selection: Over 1.5 goals
Price: 1.2222
Results: N/A
In Play: No
Event: Fenerbahçe v Alanyaspor
Market: Total Goals - Over/Under 1.5
Selection: Over 1.5 goals
Price: 1.2
Results: N/A
In Play: No
Event: FC Zürich v FC Sion
Market: Total Goals - Over/Under 1.5
Selection: Over 1.5 goals
Price: 1.2
Results: N/A
In Play: No
Event: RB Leipzig v Bayer Leverkusen
Market: Total Goals - Over/Under 1.5
Selection: Over 1.5 goals
Price: 1.1667
Results: N/A
In Play: No
Event: Sassuolo v Lazio
Market: Total Goals - Over/Under 1.5
Selection: Over 1.5 goals
Price: 1.25
Results: N/A
In Play: No
Event: Krasnodar v Yenisey
Market: Match Result
Selection: Krasnodar
Price: 1.3636
Results: N/A
In Play: No
Event: FC Midtjylland v Vejle Kolding
Market: Match Result
Selection: FC Midtjylland
Price: 1.25
Results: N/A
In Play: No
Event: St Gallen v Young Boys
Market: Double Chance
Selection: Young Boys or Draw
Price: 1.1667
Results: N/A
In Play: No
Naomba code yake
 
1) Option hii ni kwa mechi Jumla sio ya kuchagua timu moja moja
2)Safe chaguo ni under hata ukipoteza kamuda ingia Flashscore angalia kwa mechi zao za nyuma utaona ni Mechi chache kati ya 15 ni mbili au 3 ndio zinaweza kuwa na blocks zaidi ya 10.
3) NBA wanacheza kila siku kila Baada yaani kila siku mkuu unaweza unacheza Leo kesho unacheza tena unapumzika siku moja unacheza tena. Ni kila siku haina cha Jumapili wala Sabato wala ijumaa ni kila siku. Timu 30 lakini kwa msimu kila team inacheza Mechi 82, 41 nyumbani 41 ugenini kifupi jumla zinachezwaga mechi zaidi ya 1230 kwa msimu ,Regular kabla hawajaingia play-offs... Hahaaahaaaaa
Uko nondo sana brother,
Umekwiva kwenye masuala haya hahahaha,
Nami Leo, ntazicheki game kama 3 hivi then ntajitutumua kwa dasi
 
🇱🇾[emoji736]Z6NYTDLM[emoji736]🇱🇾

LETS DO IT BCK TO BCK

Premier League
Arsenal - Wolves
Over(2.5)
1.65

Premier League
Manchester City - Manchester Utd
Over(2.5)
1.45

Serie A
Milan - Juventus
Over(2.5)
2.00

Serie A
Sassuolo - Lazio
Over(2.5)
1.63

Ligue 1
Monaco - PSG
Over(2.5)
1.30

Primera Division
Celta Vigo - Real Madrid
Over(2.5)
1.35

Premiership
Livingston - Celtic
Over(2.5)
1.60

Bundesliga
FK Austria Vienna - FC Salzburg
2
1.40

Premiership
Rangers - Motherwell
Over(2.5)
1.65

Odd
50.59

🇱🇾[emoji736]MR B NONI[emoji736]🇱🇾
 
[emoji1149][emoji736]Z6NYTDLM[emoji736][emoji1149]

LETS DO IT BCK TO BCK

Premier League
Arsenal - Wolves
Over(2.5)
1.65

Premier League
Manchester City - Manchester Utd
Over(2.5)
1.45

Serie A
Milan - Juventus
Over(2.5)
2.00

Serie A
Sassuolo - Lazio
Over(2.5)
1.63

Ligue 1
Monaco - PSG
Over(2.5)
1.30

Primera Division
Celta Vigo - Real Madrid
Over(2.5)
1.35

Premiership
Livingston - Celtic
Over(2.5)
1.60

Bundesliga
FK Austria Vienna - FC Salzburg
2
1.40

Premiership
Rangers - Motherwell
Over(2.5)
1.65

Odd
50.59

[emoji1149][emoji736]MR B NONI[emoji736][emoji1149]
Mkuu mbona team nyingine sizion kama hiyo kama. Hiyo ranger -motherwell nazipataje kwenye xbet
 
NBA wananifanyaga nakuwa kama korokoroni... nalala mchana usiku naamka saa 8 naanza kuruka nao majoka
Leo jioni,naomba niangalizie mechi 3 ama 4 zenye uwezekano mkubwa wa kutoa under kwenye option ya brocks nataka niweke mtonyo mzuri.
Angalau natafuta odds 3 au 5.
Kwahiyo niangalizie najua we ni mtaalau unazijua mechi nzuri.
 
Wakuu kuna jambo linanisumbua 1xbet nikibet mkeka wa kwanza then nikatengeneza mkeka wa pili nikirudia baadhi ya timu inanimbia nimeshazibetia inagoma kulipia kuna namna naeza fanya? Au ndio kusema hawataki nirudie timu? Wananigomea hata nikirudia timu kwa option tofahti

Nenda Betslip kazifute
 
Back
Top Bottom