kidi kudi
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 2,764
- 2,491
[emoji86][emoji86][emoji86]Acha tu wameninyima m2
[emoji86][emoji86][emoji86]Acha tu wameninyima m2
-NDUGU ZANGU WAZIMA HUMU,LEO MIMI NIMETOKA HIVI WAKUU,KARIBUNI TWENDE PAMOJA.
HUU MKEKA UNAANZA SAA 3:00 - 20:00 PM.
-NITALETA MWINGINE SOON WA KUANZIA 20:30 PM -
EXPECTED AMOUNT : TSH 153,000.
-SHARING IS CARING.
View attachment 929497
Panga unalo tayari?Wakuu nina laki moja nataka nimuchinje man city, kwa odd wamezompa man u ninatoka na laki kama saba ivii na ushaur kabla sijajilipua jamani
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Panga unalo tayari?
Hii ni vikapu vingi?Q1&Q3 kwa uzoefu wangu
Dah nimeichelewa
Yaaa fanya uchunguzHii ni vikapu vingi?
Ungekuwepo online jana wakati anatuma codes leo usingeziomba, zinabadilika fasta na mpaka kuweka unakuta empty, ni heri mkeka uonekaneNimeichelewa... Msaada wa codes mkuu unapotuma
Uwe unatuma tule sote