Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

In play
Screenshot_20181111-075659.jpeg
 
Kwa wale mnauliza kwenye basketball over tunacheza vp na kuwin ni kwamba nivizuri kuweka hzo option baada ya 1q au 1q na uangalie je kila q inaleta vikap vingapi then unapotupia over unajua kabisa vikapu haviwezi kuwa chini ya hapo.
Mfano 1q(23,12)=35 na 2q(30,22)=55 so kwenye trend km hvyo ukitupia hata over 30.5,35.5 au 48.5 lazima itoe tu.
Mm sio mjuzi wa basket ila jana nimefanya hako karesearch na kwenye bet 5 nimelose 1 tu tena kwa tamaa ya kumpa direct win.
Kwa uzoefu wako q ipi inatoa vikapu vingi na ipi vikapu vichache
 
Back
Top Bottom