issac77
JF-Expert Member
- Apr 26, 2013
- 5,850
- 12,742
Hiyo option ya block nimetafuta nimeikosa. Au hadi match iwe in play?Jaribio la pili ni Blocks kwenye kikapu.. Nachezaga sana under/over ,rebounds assists nikaona Ngoja tujaribu hii option ambayo odds zake ni 1.8 haipungui hapo... Ambapo ukichagua Mechi 3 haukosi odds 5. Nimejaribu kwa Mechi 8 imegoma moja. Haya Jamani wenye mitaji chaguo la no penalty no redcard lina changamoto kubwa ila kwa hii ya blocks kwa kuwa nipo vizuri kwenye kikapu nashauri tumlize mhindi kwa blocks. Kwa mechi za NBA blocks ni 8-10 wastani ni Mechi chache kuvuka hapo.. Hata hii iliyochana ni kwamba sababu walienda OT(OVERTIME yaani Baada ya kulingana vikapu ndani ya Dakika 48 zinaongezwa Dakika 5 ambacho ni kitu adimu kutokea) View attachment 929488View attachment 929489View attachment 929490