Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mi nimempa ushindi kwota hii ya 3 sijui atatoboa
Leo yupo vizuri
Screenshot_20181111-063317.jpg
 
Mpaka kufikia hapa,kwakweli hongera sana mkuu, umeshakuwa mzoefu tayari..I mean sina wasiwasi na wewe kabisaa yan hata ukidondosha Code au screenshot hapa kwenye jukwaa napita nayo nduki.
Ushauri wangu brother, muda huu so wa kucheza mwenye then unakuja kutuandikia,...“aiseeeee” inakuwa haipendezi
Tugawie na sisi ili tufurahi pamoja mkuu
Ni hayo tu.
 
Back
Top Bottom