Chelsea simwelewi [emoji126]
Nimechange channel kwa muda kidogo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ngoja niangalei movie kwanzaBarca keshapigwa kimoko
Hahaaaaaaa!!!Nimechange channel kwa muda kidogo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ngoja niangalei movie kwanza
Alafu chelsea yupo kwenye mkeka mmoja ambao zimebak kama team 3 hivi[emoji24][emoji24]Hahaaaaaaa!!!
Stake umeweka sh ngapi?Alafu chelsea yupo kwenye mkeka mmoja ambao zimebak kama team 3 hivi[emoji24][emoji24]
Bora ni dk ya 37kubet kazi sana baka kapigwa jingine
HahahaNimechange channel kwa muda kidogo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ngoja niangalei movie kwanza
Hahaha
That's football dude!😛Barca anawasalimiaaa...[emoji28][emoji16]daaaah dadekiii,,,,,,
MKUU YAANI MIMI HII SIKU YA LEO DUUH,CELTIC KAPITA NA 70,000 YANGU SIJATULIA TU BARCELONA NAE ANAENDA KUTEKETEZA 50,000, AISEE.Stake umeweka sh ngapi?
Usikate tamaaMKUU YAANI MIMI HII SIKU YA LEO DUUH,CELTIC KAPITA NA 70,000 YANGU SIJATULIA TU BARCELONA NAE ANAENDA KUTEKETEZA 50,000, AISEE.
MUNGU NI MWEMA LAKINI,MAPAMBANO YANAENDELEA.View attachment 930031
Sikati tamaa Mkuu,ahsante sanaUsikate tamaa
Angaliaaa huyu alichonifanyaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] so chelseaa akifungwa na mm na dead[emoji23][emoji23][emoji23]Usikate tamaa