ozzy isayah
JF-Expert Member
- Sep 16, 2013
- 488
- 302
THNK YOU THE BLUES it was a best experience ever[emoji23][emoji23][emoji23]
Lost! Chelshit!!!!!!!!!!!!!!!!!In play
Code: GP7S6
Odds: 2+
Risk level: 100%
Stake your balls thou!
In Testing; Never Test the Depth of water with Two Legs; You will DieMKUU YAANI MIMI HII SIKU YA LEO DUUH,CELTIC KAPITA NA 70,000 YANGU SIJATULIA TU BARCELONA NAE ANAENDA KUTEKETEZA 50,000, AISEE.
MUNGU NI MWEMA LAKINI,MAPAMBANO YANAENDELEA.View attachment 930031
Karibu sana kwenye ulimwengu wa matatizoLeo ndyo mara yangu ya kwanza kubet na nimepigwa kisawasawa
Big up kwakeDaah,, hii ndo inaitwa BUSINESS. jamaa kampiga kanji 2milView attachment 930066
Siooni sabab ya man utd kupata hata draw
Ndio michezo mkuu mapambano yaendeleeLeo ndyo mara yangu ya kwanza kubet na nimepigwa kisawasawa
Huyo mrusi kachezea za uso sio kanjiDaah,, hii ndo inaitwa BUSINESS. jamaa kampiga kanji 2milView attachment 930066
Kumbe kala 3 khaaaAnachofanywa barca daah sion dalili ya kupata pesa tena kwa putin
Just hope 2-3Anachofanywa barca daah sion dalili ya kupata pesa tena kwa putin
2-4 matumain hakuna tena hapoJust hope 2-3
Airtel wamenkata elaa ila kwenye account ya xbet siioni msaada plseeeodd.200+ View attachment 930115