Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

timu kubwa c za kubetia sa iv,hawa jamaa wanaubia na makampuni ya kubet,watu wanaluka luka tu uwanjani ili tupigwe na tumepgwe kweli kweli[emoji125][emoji125][emoji125]
 
chelsea bora angesema ana droo tu,imebidi nitupie na kwenye droo angalau nirudishe hasara mana od zilikuwa juu, na kadroo kweli,fucking
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…