Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Jamani kuna waliotoa mitonyo leo kupitia tigo maana sielew yahn tangu asubui ela Ina hang angani tu sijui.
Kwa ushauri wa bure tu, weekend sio siku zaa kufanya miamala, aidha kutoa ama kuweka system huwa busy saana! Kama hujadeposit ama kutoa pesa ijumaa mapema sana, basi kausha hadi jumatatu!!! Hayo matatizo hayatakuupata
 
Sijawahi kuona wikendi ya kipumbavu kama hii iliyopita. Naamini kuna baadhi ya timu zinabet, hasa Barcelona. Mkumbuke hata mwaka jana walikula deal na mhindi wakafungwa na timu ndogo sana. Hawa qumer wanaudhi sana I see!
 
Kumbeeee.........
 
Kama mechi ya derby jana refa alibet GG akaweka mzgoo
 
mmmmh....betting ya taka moyo wa chuma la sivyo unaweza lia ,nilikuwa nimepga hela ila nikashangaa inaanza kurudi kwa mwenye nayo,dah! kama uchawi vile,

kila gemu ninayoiweka inagoma,aisee ukipga mikeka ya kutosha mara ikaanza kugoma,acha usubiri wakati mwingine,la sivyo zitarudi zote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…