Tupe bas mambinuwadau NBA imeshaanza tuhamie huko sasa tukapige za bure
mdau mimi huwa nasubiria quarter ya pili nafanya tathmini ya matokeo kisha naweka mzigo huwa nacheza over ya point za jumla za timu zote mbili, katika hizo over huwa nachagua over ya kwanza ili niwe salama zaidi lkn kwa ligi kama NBA au Sweden huwaga sina wasiwasi kabisa na overTupe bas mambinu
mdau mimi huwa nasubiria quarter ya pili nafanya tathmini ya matokeo kisha naweka mzigo huwa nacheza over ya point za jumla za timu zote mbili, katika hizo over huwa nachagua over ya kwanza ili niwe salama zaidi lkn kwa ligi kama NBA au Sweden huwaga sina wasiwasi kabisa na over
kiongozi kwenye NBA usipende kucheza under huko watu wanatupia vikapu hatari mzee babaWadau.mkaziwahi hizo odds za quater 1 under 41.5
at ur own......View attachment 930396
Nazijuaa hizo team mkuu ndo maana nimeweka kwenye qota 1kiongozi kwenye NBA usipende kucheza under huko watu wanatupia vikapu hatari mzee baba
ok sawa kiongozi tuko pamojaNazijuaa hizo team mkuu ndo maana nimeweka kwenye qota 1
Under NBA utakufa kwa preshaWadau.mkaziwahi hizo odds za quater 1 under 41.5
at ur own......View attachment 930396
Najuaa[emoji23][emoji23]stake zangu si unazijuaa 300Under NBA utakufa kwa presha
kuna NBA, basketball ya Sweden na China huko kucheza under points ni kosa kubwa sana, huko watu wanatupia vikapu ile mbaya mzee babaUnder NBA utakufa kwa presha
Upige picha ukiwa umeshikiliaa ur document mbele ya hiyo mail nahisi utanielewa though sipo vizuri kwenye kutafrisi neno kwa nenoJamani naombeni mnisaidie apa, me sijui kiingereza tafadhaliView attachment 930495
Piga picha ukiwa ume shikilia kitambulisho chako eg Cha taifa/mpiga kura ukiwa ume kishika kionekane vzuri kisha watumie kweny hiyo mail yaoJamani naombeni mnisaidie apa, me sijui kiingereza tafadhaliView attachment 930495
Ngoja nijaribuPiga picha ukiwa ume shikilia kitambulisho chako eg Cha taifa/mpiga kura ukiwa ume kishika kionekane vzuri kisha watumie kweny hiyo mail yao
Angalia mfano pichani
View attachment 930542
Utupe taarifaNgoja nijaribu
Mkuu ninavyokufaham kwa kuvizia, mechi ya Atlanta kweli imepita salama 1st half, mrusi nahisi ameumia