Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Bora uuze huo mkeka upate hata hiyo 600; utaikosa shaur yako
Jan nilikosa 1500 eti nangojea mpaka full-time,
Majamaa wakatoka 0-0 na nilikuwa nimewapa over 2.5.
Hata 1500 sikuiona imepitia wapi mkuu,
Bwana Putin alipoona maji yamenifika hapaaa,huyooooo akainyakua nyaku-nyaku
 
Bwana Putin kajitoa ufahamu dakika ya 80' eti kaongeza odds 4+ under 2.5 ya yellow card,
Daaadek nikaruka nae ka mwewe,sema ilikuwa imebaki buku tu kwenye account, yani ningembabua.View attachment 930172
Hahaha aya izungushe tena hyo uliyopta ule uliwe mpka ibaki tena buku hafu ule tena mzunguko usonge o wakupune kabisa uwawekee wakina void mupunga yao.
 
Jan nilikosa 1500 eti nangojea mpaka full-time,
Majamaa wakatoka 0-0 na nilikuwa nimewapa over 2.5.
Hata 1500 sikuiona imepitia wapi mkuu,
Bwana Putin alipoona maji yamenifika hapaaa,huyooooo akainyakua nyaku-nyaku
Nikiona hakuelewwk tuu; nauza mkeka na mda mwingn kuuza mkeka kunaleta na faida
 
Back
Top Bottom