wakali ndondo
JF-Expert Member
- Jun 12, 2017
- 583
- 908
Waliofuata WOONView attachment 937445
Hivi hapa kwa uelewa wangu nimekula ila naona kanji kala wajuzi njooni mnieleweahe hii handcap
Navoelewa ukiweka handcap 2, maanake timu no.2 ishinde then ndo inategemea na hiyo + au -,,sasa hapo kwako ukichukua hiyo 26.5 ukajumlisha na 58 bado hujamfikia huyo mwenye 88 kwahiyo imekula kwakoHivi hapa kwa uelewa wangu nimekula ila naona kanji kala wajuzi njooni mnieleweahe hii handcap
WARNING: waweka mizigo naomba nishee nanyi jambo ambao limenitoke jana na pia tujaribu kulifuatilia taratibu na makini sana kwenye 1xBet. Ishu ipo hivi; mara ya kwanza jana asbh niliweka mzigo (basketball...TOTAL 1 OVER 28.5: single bet ODD 2.78 nikaweka 20,000/=) nikawin LKN nikaandikiwa LOSS nikashtuka na kuangalia bet ukoje net ikastaki kidogo baada ya kurudi nikakuta imeniandikia 2WIN (hapo nilichanganyikiwa kwa kweli ni mimi nilibet hivyo au mrusi amekuwa mhuni baada ya kuona anapigwa sana waswahili. USIKU tena jana ikajirudia hivyohivyo nilibet 1W in 2nd HALF na niliwin (niliweka single bet mbili ya 2000 na 30,000 ODDS 4.34) ya 2000 WIN lkn ya 50,000 ikabadilisha matokea na kuonekana nilibet TOTAL OVER 65.5 hivyo nikaLOSS. Nimelisema hili ili tufatilie bet zetu hasa kwenye LOSS za utata. Asanteni.
Sina uhakika jaribuNiweke second q mkuu au nitapotea
Kuna saa hata mimi sielewag mkuu anyway ngoja nianze kuwa makini zaidiWARNING: waweka mizigo naomba nishee nanyi jambo ambao limenitoke jana na pia tujaribu kulifuatilia taratibu na makini sana kwenye 1xBet. Ishu ipo hivi; mara ya kwanza jana asbh niliweka mzigo (basketball...TOTAL 1 OVER 28.5: single bet ODD 2.78 nikaweka 20,000/=) nikawin LKN nikaandikiwa LOSS nikashtuka na kuangalia bet ukoje net ikastaki kidogo baada ya kurudi nikakuta imeniandikia 2WIN (hapo nilichanganyikiwa kwa kweli ni mimi nilibet hivyo au mrusi amekuwa mhuni baada ya kuona anapigwa sana waswahili. USIKU tena jana ikajirudia hivyohivyo nilibet 1W in 2nd HALF na niliwin (niliweka single bet mbili ya 2000 na 30,000 ODDS 4.34) ya 2000 WIN lkn ya 50,000 ikabadilisha matokea na kuonekana nilibet TOTAL OVER 65.5 hivyo nikaLOSS. Nimelisema hili ili tufatilie bet zetu hasa kwenye LOSS za utata. Asanteni.
We ume mtanguliza away vikapu 27Hivi hapa kwa uelewa wangu nimekula ila naona kanji kala wajuzi njooni mnieleweahe hii handcap
Nadhani kuna haja ya kuscreenshot after stake thwn loss unacompareWARNING: waweka mizigo naomba nishee nanyi jambo ambao limenitoke jana na pia tujaribu kulifuatilia taratibu na makini sana kwenye 1xBet. Ishu ipo hivi; mara ya kwanza jana asbh niliweka mzigo (basketball...TOTAL 1 OVER 28.5: single bet ODD 2.78 nikaweka 20,000/=) nikawin LKN nikaandikiwa LOSS nikashtuka na kuangalia bet ukoje net ikastaki kidogo baada ya kurudi nikakuta imeniandikia 2WIN (hapo nilichanganyikiwa kwa kweli ni mimi nilibet hivyo au mrusi amekuwa mhuni baada ya kuona anapigwa sana waswahili. USIKU tena jana ikajirudia hivyohivyo nilibet 1W in 2nd HALF na niliwin (niliweka single bet mbili ya 2000 na 30,000 ODDS 4.34) ya 2000 WIN lkn ya 50,000 ikabadilisha matokea na kuonekana nilibet TOTAL OVER 65.5 hivyo nikaLOSS. Nimelisema hili ili tufatilie bet zetu hasa kwenye LOSS za utata. Asanteni.
Inategemea kwny setting yako umewekajeWARNING: waweka mizigo naomba nishee nanyi jambo ambao limenitoke jana na pia tujaribu kulifuatilia taratibu na makini sana kwenye 1xBet. Ishu ipo hivi; mara ya kwanza jana asbh niliweka mzigo (basketball...TOTAL 1 OVER 28.5: single bet ODD 2.78 nikaweka 20,000/=) nikawin LKN nikaandikiwa LOSS nikashtuka na kuangalia bet ukoje net ikastaki kidogo baada ya kurudi nikakuta imeniandikia 2WIN (hapo nilichanganyikiwa kwa kweli ni mimi nilibet hivyo au mrusi amekuwa mhuni baada ya kuona anapigwa sana waswahili. USIKU tena jana ikajirudia hivyohivyo nilibet 1W in 2nd HALF na niliwin (niliweka single bet mbili ya 2000 na 30,000 ODDS 4.34) ya 2000 WIN lkn ya 50,000 ikabadilisha matokea na kuonekana nilibet TOTAL OVER 65.5 hivyo nikaLOSS. Nimelisema hili ili tufatilie bet zetu hasa kwenye LOSS za utata. Asanteni.
Sasa mkuu ukimtanguliza mgeni mwnyeji si unaondoa hivyo vikapu ulivyo mpa mgeni au? Na kama unamuondolea mwenyeji putin hapo kaniibiaWe ume mtanguliza away vikapu 27
Matokeo ni 88 kwa 58 aya turudi darsan sasa 58+27 = 85
Bado tokeo linakua 88 kwa 85
Huoni kama umeliwa mzee??
Hilo nalifahamu sasa matokeo yamebadilishwa kabisaInategemea kwny setting yako umewekaje
Ujue kwny basket odds zinabadilika within sec.
Mf: unaweza ukaplace bet ova 46 lkn wakat inareqst hiyo 46 ikawa ishabadlishwa mpaka 46.5 na ndo request yako ikakubali muda huo.
Hebu chek kwny setting uhakikishe unakataa any changes nasema ivo coz hata mimi limeshanikuta
Kabisa yaaniNadhani kuna haja ya kuscreenshot after stake thwn loss unacompare