Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mkuu naona somo we unelielewa vizur me hiz handcap nisipoenda sawa na mwenyew wimick me siziwez kabisa, toa ulichonacho mkuu kama kuna kaujanja kingine umekavumbua hebu nitoe tongotongo kidogo maana naona ww mkuu unaenda nazo vizur kwel.
Mmmh aisee kiongozi nipe kwanza muda kidogo alafu nitakuja kutoa hitimisho umu ndani juu ya jinsi ya kubet na kupata ushindi kwenye basket ila now wacha kwanza niiprove theory yangu then nitaleta thesis yangu apa ila kwa sasa ngoja kwanza niifanyie maahakikisho hiki kitheory ninachoona kinaweza ktusaidia watz
 
Nilichogunduaa hapa ndani mtu ana bet anataka kukimbizana na wimicky hata kama ndo anaanza leo while wimicky kashakuaa mtaalamu siku nyingi hebu jifunzeni kuwa na subira na kujidunza taratibu kila kitu ni hatuaa huwez kuanza kubet leo una upate malaki leo.....soma mchezo na wanabet huo mchezo msikurupuke aiseeee
 
Mmmh aisee kiongozi nipe kwanza muda kidogo alafu nitakuja kutoa hitimisho umu ndani juu ya jinsi ya kubet na kupata ushindi kwenye basket ila now wacha kwanza niiprove theory yangu then nitaleta thesis yangu apa ila kwa sasa ngoja kwanza niifanyie maahakikisho hiki kitheory ninachoona kinaweza ktusaidia watz
Usisahau ahadi eee, jua hujamwahidi mmoja tu, Bali umeuahidi umma
 
Copy that mkuu kwa sasa acha tuendelee kutembelea nyota ya wimick ila ni vizur kujua mbinu zaid kuliko kukopy na kupest, endelea kuchimba mkuu ukiprove right kwenye hiyo theory yako njoo umwage dini hapahapa jukwaani kila mwenye jicho aone.
Mmmh aisee kiongozi nipe kwanza muda kidogo alafu nitakuja kutoa hitimisho umu ndani juu ya jinsi ya kubet na kupata ushindi kwenye basket ila now wacha kwanza niiprove theory yangu then nitaleta thesis yangu apa ila kwa sasa ngoja kwanza niifanyie maahakikisho hiki kitheory ninachoona kinaweza ktusaidia watz
 
Waliofuata WOON
Screenshot_20181117-094916.jpeg
 
Back
Top Bottom