Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nimekurupuka saa 10 kujaribu bahati yangu NBA nikala za uso nikajutia usingiz wangu na mpunga wangu, nikiendelea na huu mchezo na vipigo hiv kwa muda wa miaka miwil zaid nitakuwa nimepunguza muda wangu wa kuishi maana moyo wangu unapata taabu sana kwenye kusubir mkeka wangu, dah eeh mungu tusaidie tunaokula vipigo wote.
Teh teh teh teh usingz ni afyan na kubet sana ni atar kwa afya yako[emoji3][emoji3][emoji3]
 
In
Screenshot_20181117-080510.jpeg
 
Ahahaha kumbe hanaga urafiki na mtu Putin dah, sawa mkuu twende nae hvyohvyo akishambulia sana we unadefend.
Nitaenda na stly ya m bet naanza 5000 nikimpiga naongeza 5000 nikimpiga hivo hivo akinipiga nashuka
 
Huyu hizi quarter 2 za 1hf ameongoza vikapu 34 nimempa aongoze kwa vikapu 46 tumjaribu naona km Yuko form
Screenshot_20181117-083834.jpeg
 
Back
Top Bottom