Al-Hadidy
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 1,413
- 3,078
Mkuu ina maana gani hiyo option na ni ya mchezo gani?Umekubari ok View attachment 936776
Mkuu ina maana gani hiyo option na ni ya mchezo gani?Umekubari ok View attachment 936776
Mkuu nisaidie namna ya kusoma odds! Huwa sielewi unakuta waneweke UNDER 1.5 OVER 2.5 au UNDER 3/5.Hii ni kama vile loss si ndio mkuu?
Naona kama ulimpa w1 ashinde baada ya kuongezewa points 24.5 si ndo ivo?
Mkuu nisaidie namna ya kusoma odds! Huwa sielewi unakuta waneweke UNDER 1.5 OVER 2.5 au UNDER 3/5.
Ata kusoma hizo odds sielewi kusema kweli sijui nini inadetermine kushinda au kusgindwa.
Natamani kuweka mzigo ila nilijaribu nikapigwa hivyo naogopa sana maana mimi ni layman ya betting sana, ingawa mfuasi mkuu wa soccer
Aisei, nikisoma mtandaoni juu ya tips za prediction huwa nachanganywa na hizo odds, natamani kujua kama hizo odds zinasaidiaje kutabiri mshindi, afu matumizi ya maneno haya UNDER na OVERKwahiyo we una bet kwa sababu umeona watu wana bet???
Anyway odd unazidisha na ela unayobetiaa ndo elaa utayokapata ukishinda bet yako
Kama umeweka 500 unazidisha na odd yako
Hahaha we mgeni kabisa... angalia post za nyuma wameelezea kila kituAisei, nikisoma mtandaoni juu ya tips za prediction huwa nachanganywa na hizo odds, natamani kujua kama hizo odds zinasaidiaje kutabiri mshindi, afu matumizi ya maneno haya UNDER na OVER
Hapo ni vitu 2 tofauti unavyoongeleaaAisei, nikisoma mtandaoni juu ya tips za prediction huwa nachanganywa na hizo odds, natamani kujua kama hizo odds zinasaidiaje kutabiri mshindi, afu matumizi ya maneno haya UNDER na OVER
Aisei, nikisoma mtandaoni juu ya tips za prediction huwa nachanganywa na hizo odds, natamani kujua kama hizo odds zinasaidiaje kutabiri mshindi, afu matumizi ya maneno haya UNDER na OVER
Tehtehteh Mrusi anaipataMrusi daah View attachment 936791
Usemalo ni kweliNimegundua betting haiitaji vitu vikuu viwili tamaa na haraka ya kufanya machaguo, betting inahitaji uwe na prior infor za yale machaguo unayoenda kuyachagua na pia uwe mvumilivu kwa maana ya kwamba uwe na subira na ukubali kujifunza kila siku na kila kitu na kwa kila mwanabetting mwenzio mwisho kabisa betting adui wake mkuu ni tamaa acha tamaa kabisa kwenye betting la sivyo zile rangi nyeusi kwenye profile yako hazitaa zikome na siku zote wewe utakuwa adui wa rangi ya kijani,
Shirikisha akili ya ndani wskati unapotaka kutengeneza mkeka wako ama kuplace bet yako narudia tena na tena tamaa ni adui mkubwa wa mafinikio yako katika mchezo huu wa kubet yangu ni hayo
Nb : tunahitaji ela ila tupunguze tamaa twende mdogo mdogo ela zitakuja wakuui
Umesema kweli yote mkuu.Nimegundua betting haiitaji vitu vikuu viwili tamaa na haraka ya kufanya machaguo, betting inahitaji uwe na prior infor za yale machaguo unayoenda kuyachagua na pia uwe mvumilivu kwa maana ya kwamba uwe na subira na ukubali kujifunza kila siku na kila kitu na kwa kila mwanabetting mwenzio mwisho kabisa betting adui wake mkuu ni tamaa acha tamaa kabisa kwenye betting la sivyo zile rangi nyeusi kwenye profile yako hazitaa zikome na siku zote wewe utakuwa adui wa rangi ya kijani,
Shirikisha akili ya ndani wskati unapotaka kutengeneza mkeka wako ama kuplace bet yako narudia tena na tena tamaa ni adui mkubwa wa mafinikio yako katika mchezo huu wa kubet yangu ni hayo
Nb : tunahitaji ela ila tupunguze tamaa twende mdogo mdogo ela zitakuja wakuui
Mambo ya kutaka milion kwa buku unaweka timu ishirini hahahaaa alafu ukipigwa unalalamika wakati unajaribu kuposibolaiz imposiblesNimegundua betting haiitaji vitu vikuu viwili tamaa na haraka ya kufanya machaguo, betting inahitaji uwe na prior infor za yale machaguo unayoenda kuyachagua na pia uwe mvumilivu kwa maana ya kwamba uwe na subira na ukubali kujifunza kila siku na kila kitu na kwa kila mwanabetting mwenzio mwisho kabisa betting adui wake mkuu ni tamaa acha tamaa kabisa kwenye betting la sivyo zile rangi nyeusi kwenye profile yako hazitaa zikome na siku zote wewe utakuwa adui wa rangi ya kijani,
Shirikisha akili ya ndani wskati unapotaka kutengeneza mkeka wako ama kuplace bet yako narudia tena na tena tamaa ni adui mkubwa wa mafinikio yako katika mchezo huu wa kubet yangu ni hayo
Nb : tunahitaji ela ila tupunguze tamaa twende mdogo mdogo ela zitakuja wakuui
Aisee hivi huyu mtu bado yupo...!?Karibuni tuinvest katika soko letu la hisa iwe meridian, iplay8 casino, m-bet, premier betting, skybet, landbrokerz, bet365... n.k
GG (maana yake tim zote zifungane).. GGGG ( tim zote zifungane kila kipindi)
2+ (katika mechi yote yapatikane magoli kuanzia mawili)...
I 2+ (kipindi cha kwanza yapatikane magoli kuanzia mawli)...
II2+ (kipindi cha pili yapatikane magoli kuanzia mawili)....
H2+ (tim ya nyumbani ipate magoli kuanzia mawili)...
A2+ (timu ya ugenini ipate magoli kuanzia mawili)...
Kizungu kimejaa mpk kinamwagika ila nimefuatilia sana, nakutana na terms ambazo sizielewi hasa matumizi ya maneno kama under na over, sometime unakuta wamefanya analysis team inapewa number fulani mfano 1.3 under na nyingine labda 3.2 over sasa hapa huwa nachanganyikiwa sana.Weka tu mzigo kadri unavyozid kupigwa ndio kichwa kinazid kukaa sawa na kujua maana ya option zaid na hizo odds hazidetermine kushinda wala kushindwa kama ww kwel ni mfuas wa soka utaelewa nn namaanisha game haitabirk ni bahati nasibu mkuu na betting sio kushinda tu na kushindwa pia kwahiyo jiandae kwa hilo kama ulijua kuna kula tu basi hao wenye makampuni wangeshafunga kitambo sana, mengine chukua muda wako anza na moja huko juu wameelezea vizur sana waasis acha uvivu hakuna hela ya mteremko pambana chambua kadili uwezavyo options ziko open sana kama unajua hata kizungu cha kuombea maji pitipitia na gugo ahahaha.
Hii -'ve inamaanisha nnHiii je unabisha mrusiView attachment 936781