Kazetela
JF-Expert Member
- Nov 12, 2016
- 1,718
- 1,660
Pole ndugu, lakni itafika tu, mi kila nikiwa nadepost huwa sipatagi shida yoyoteNdo nmefanya hvyo mzee Akn haijatokea kwny account hela
Pole ndugu, lakni itafika tu, mi kila nikiwa nadepost huwa sipatagi shida yoyoteNdo nmefanya hvyo mzee Akn haijatokea kwny account hela
Pole ndugu, lakni itafika tu, mi kila nikiwa nadepost huwa sipatagi shida yoyote
[emoji16][emoji16][emoji16]UNDER imenitoa 82k to 30k.... Hapa naona ka kichwa kinajipampu.
Mzee baba, hiyo icheze sana sana kwenye football tena ligi za Brazil akina Vasco Dagama ndo huwa inatoa tena kwa % mpaka 100, lakn kwingne acha acha acha kabisa.UNDER imenitoa 82k to 30k.... Hapa naona ka kichwa kinajipampu.
009Msaada Jaman namba ya m lipa
0758 460 813Msaada Jaman namba ya m lipa
Aaaa wapi, sitaki tena naona yatakiwa yale yale tuu.Mzee baba, hiyo icheze sana sana kwenye football tena ligi za Brazil akina Vasco Dagama ndo huwa inatoa tena kwa % mpaka 100, lakn kwingne acha acha acha kabisa.
Watu wanatupia nyavuni ka hawana akili vizuri
0758 460 813 aseee ni issue ya deposit haijafika wapigie simu sana tena sana bila kuchoka. Afu sms ya muamala itume kwa whatsapp namba hiyi hiyo hata mara 5. Lkn hela utarudishiwa tuuMsaada Jaman namba ya m lipa
Hata mimi ngoja tusubiriKwa mara ya kwanza nmedeposit pesa 1xbet kupitia Number Yao mpya ya 009 hela bado haija ingia kwny account nn tatzo wakuuu
Hata mimi ngoja tusubiri
Itz real, mganga ni yule yuleTuone mrusi km kabadirisha mgangaView attachment 936635
Ngoja tuoneTuone mrusi km kabadirisha mgangaView attachment 936635
Samahani kiongozi hizi handcaps bado zinanitatiza, hapo ulivoweka maanake nini?Tuone mrusi km kabadirisha mgangaView attachment 936635
Hii ni kama vile loss si ndio mkuu?Tuone mrusi km kabadirisha mgangaView attachment 936635
Ndiyo hapo nilimpa home asiruhusu vikapu zaidi ya 24 away naona alijipanga quarter zote hajapotezaHii ni kama vile loss si ndio mkuu?
Naona kama ulimpa w1 ashinde baada ya kuongezewa points 24.5 si ndo ivo?