MKUU hiyo handcap 1(1.5) maana ake nn?Leo nimedil nay papendicular huyu mtu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 936005View attachment 936006View attachment 936007View attachment 936008View attachment 936009View attachment 936010View attachment 936011View attachment 936012View attachment 936013View attachment 936014View attachment 936015View attachment 936016
Hiyo ni LOST mkuu hapo upo kwenye 3 way ambapo kuna option 3 za over, under, na Exactly sasa kona zako zipo 11 ina maana imeshinda option ya ExactlyJaman hapo si ilitakiwa iwe rufund mbona loos teenaView attachment 935926
Hiyo ni LOST mkuu hapo upo kwenye 3 way ambapo kuna option 3 za over, under, na Exactly sasa kona zako zipo 11 ina maana imeshinda option ya Exactly
Mzee baba upo vizri ongeza dauLeo nimedil nay papendicular huyu mtu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 936005View attachment 936006View attachment 936007View attachment 936008View attachment 936009View attachment 936010View attachment 936011View attachment 936012View attachment 936013View attachment 936014View attachment 936015View attachment 936016
UnsolvableJana niliomba kuelekezwa hizo handcpa ila nilitoka holla... Naomba kuelekezwa
Wanabod hawa Ado heen hag wapo ligi gaaan?????[emoji1307]Melbourne cty w WIN
[emoji1307]Russua u19 WIN
[emoji1307]Ado Deen Hag w 3.5 ov
Odd 3
[emoji710]BEST DAD[emoji710]
NetherlandsWanabod hawa Ado heen hag wapo ligi gaaan?????
Yeah nimeona hsa mbna kama leo hawana mech mkuuNetherlands
Yeah nimeona hsa mbna kama leo hawana mech mkuu
Hebu kuweni na subiraa kidogo ....inakaa kidogo itakubaliKwa mara ya kwanza nmedeposit pesa 1xbet kupitia Number Yao mpya ya 009 hela bado haija ingia kwny account nn tatzo wakuuu
Aaaaah mwanangu mpaka kuona nimefika angalau apa nimeliwa sana mzee baba nimekula za uso sana mpaka nikaamua nikae chini yani nirudishe mpira kwa kipa nianze tena upya kujifunza kutoka kwa manguli kina WAMICKY na wengine wemgi mambo bado kabosa boss japo hali sio mbaya kama zamani angalau nimeanz kupunguza zile alama nyeusi kwenye display yangu na. Angalau ukijani unanza kutamalaki ila bado nakula mtizi bro pamoja na kukuza mtajiMzee baba upo vizri ongeza dau
Hebu kuweni na subiraa kidogo ....inakaa kidogo itakubali
Daaah mkuu sor now ndo naona sms yako mkuu iyo hand cap ya 1(1.5) manake timu ya nyumbani inakuwa inaongezewa magoli mawilo ivyo yenyewe kabla gemu haijaanza inakuwa tayari ina vikapu viwili kipindoni na ukiona pia handcap 1-(1.5) manake ivyo ivyo kwamba timu ya nyumbani kabla gemu haijaanza tayari inakuwa imeshakatwa magoli mawili ivyo ikiingia uwanjani ili iweze kushinda mfano ushindi wa mbilia bila ni lazima ifunge magoli manne kwa maana mawili yankatwa na inabaki na mawiliMKUU hiyo handcap 1(1.5) maana ake nn?