morimaghita
Member
- Sep 18, 2018
- 58
- 45
Hii inaitwa mahaba niue, mie wamenichania mara tatu mfululizo, sijui hawa jamaa tatizo nini?.Pumbavu kabisa quarter zote 4 ameshindwa kuvuka points 25 hovyo sana ngoja niwaunfollow maana wananitia hasara tu.
Hii inaitwa mahaba niue, mie wamenichania mara tatu mfululizo, sijui hawa jamaa tatizo nini?.Pumbavu kabisa quarter zote 4 ameshindwa kuvuka points 25 hovyo sana ngoja niwaunfollow maana wananitia hasara tu.
Inategema na mkeka Mkuu..kama ni single au accumulatorkwa anaejua hv kiwango cha mwisho cha ku,stake 1xbet ni kiax gan
Jaribu kuweka hata buku kwenye option zote then ukila au ukiliwa ndo utaelewa zaidi mkuuKizungu kimejaa mpk kinamwagika ila nimefuatilia sana, nakutana na terms ambazo sizielewi hasa matumizi ya maneno kama under na over, sometime unakuta wamefanya analysis team inapewa number fulani mfano 1.3 under na nyingine labda 3.2 over sasa hapa huwa nachanganyikiwa sana.
By the way nitajua ila sasa niko na shida mno ngoja nibett wenda nikabahatika
Ndo nmefanya hvyo mzee Akn haijatokea kwny account hela
Inategemeana na option na jinsi walivyopangilia, kuna option unastake hata milioni 100 na zaidi. Nguvu yako tu.kwa anaejua hv kiwango cha mwisho cha ku,stake 1xbet ni kiax gan
MkuuMkuu nisaidie namna ya kusoma odds! Huwa sielewi unakuta waneweke UNDER 1.5 OVER 2.5 au UNDER 3/5.
Ata kusoma hizo odds sielewi kusema kweli sijui nini inadetermine kushinda au kusgindwa.
Natamani kuweka mzigo ila nilijaribu nikapigwa hivyo naogopa sana maana mimi ni layman ya betting sana, ingawa mfuasi mkuu wa soccer
Under ya 1.3 maana yake game yote magoli yasizidi moja yaani yawe chini ya 1 maana yake 1.0 au 0.0Kizungu kimejaa mpk kinamwagika ila nimefuatilia sana, nakutana na terms ambazo sizielewi hasa matumizi ya maneno kama under na over, sometime unakuta wamefanya analysis team inapewa number fulani mfano 1.3 under na nyingine labda 3.2 over sasa hapa huwa nachanganyikiwa sana.
By the way nitajua ila sasa niko na shida mno ngoja nibett wenda nikabahatika
Leta mamboooSiamini kama watu wamelala
Siamini kama watu wamelala
Daah pole sanaNimekurupuka saa 10 kujaribu bahati yangu NBA nikala za uso nikajutia usingiz wangu na mpunga wangu, nikiendelea na huu mchezo na vipigo hiv kwa muda wa miaka miwil zaid nitakuwa nimepunguza muda wangu wa kuishi maana moyo wangu unapata taabu sana kwenye kusubir mkeka wangu, dah eeh mungu tusaidie tunaokula vipigo wote.
Niliwapa ushindi Chicago bulls kwota ya 3 ila naona anakimbizwa mbaaaaya najiandaa tu kisaikolojia kupokea matokeoWazee baba aiseee wamarekani wanapiga kikapu yani hawa jamaa ni konyo kabisa yani mtu vikapu 20 wanafunga na kuvirudisha ndani ya dakika 3 aisee hawa jamaa wanajua sana basketbal
Asante mkuu ngoja tu nisubir kidogo moyo upoe nikaongeze mafuta mapambano yaendelee.Daah pole sana
Haha Mimi nimeamka usiku nikaanza na Chile kapita na 40k yangu,mshezi kabisa!!.Asante mkuu ngoja tu nisubir kidogo moyo upoe nikaongeze mafuta mapambano yaendelee.
Ahahah mkuu we acha tu hiz mambo ukiwa na jazba unaweza pasua simu.Haha Mimi nimeamka usiku nikaanza na Chile kapita na 40k yangu,mshezi kabisa!!.
InNiliwapa ushindi Chicago bulls kwota ya 3 ila naona anakimbizwa mbaaaaya najiandaa tu kisaikolojia kupokea matokeo