Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

In play
Screenshot_20181117-085435.jpeg
 
Wazee nimecheza basketball over kila mkeka lost nikasema ngoja nicheze under mikeka mitatu mfululizo tmu tatu mbili znatoa game moja inaenda OVERtime...
Ila basketball Under kuna pesaaa angalau huwez kulost mikeka minne mfululizo kati ya sita unaweza kuWIN hata MinNe
 
Wakuu huyu mrusi ana hila sio bure, kuna ndoano nilitega ligi ya Japan huko futbol timu kama 4 hivi zitoe +0.5 ila mpaka sasa inakwenda dk 65 bado hakuna magoli timu zote haya si maajabu
 
Asante mkuu ngoja tu nisubir kidogo moyo upoe nikaongeze mafuta mapambano yaendelee.
Mmmh daaassh! Ila bado naendelea na mtizi mdomdo bado sijakaa vizuri ila asante sana kwa ndugu WAMICKY angalau sasa kijani naziona kwa profile yangu kiasi ni za kuridhisha sana tu!!

Nb tamaa ni adui wa mafanikio yako katiks mchezo huu wa betting ama kubashiri nenda mdomdo utafika lakini ukiendelea kuweka tamaa mbele basi jua kuwa daima kuwa zile rangi nyeusi zitaendelea kuwa rafiki yako wa kudumu na zile rangi za kijani kwenye profile yako zitaendelea kuwa adui wako mkubwa sana.
Screenshot_20181117-091915.jpg
Screenshot_20181117-091906.jpg
Screenshot_20181117-091828.jpg
Screenshot_20181117-091818.jpg
Screenshot_20181117-091808.jpg
Screenshot_20181117-091759.jpg
Screenshot_20181117-091751.jpg
Screenshot_20181117-091737.jpg
Screenshot_20181117-091724.jpg
 

Attachments

  • Screenshot_20181117-091818.jpg
    Screenshot_20181117-091818.jpg
    56.7 KB · Views: 31
Wakuu huyu mrusi ana hila sio bure, kuna ndoano nilitega ligi ya Japan huko futbol timu kama 4 hivi zitoe +0.5 ila mpaka sasa inakwenda dk 65 bado hakuna magoli timu zote haya si maajabu
Muda mwingine huwa nahisibkuwa labda haya makampuni ya betting yanachezaga mchezo na hawa wamiliki wa timu
 
Mkuu naona somo we unelielewa vizur me hiz handcap nisipoenda sawa na mwenyew wimick me siziwez kabisa, toa ulichonacho mkuu kama kuna kaujanja kingine umekavumbua hebu nitoe tongotongo kidogo maana naona ww mkuu unaenda nazo vizur kwel.
Mmmh daaassh! Ila bado naendelea na mtizi mdomdo bado sijakaa vizuri ila asante sana kwa ndugu WAMICKY angalau sasa kijani naziona kwa profile yangu kiasi ni za kuridhisha sana tu!!

Nb tamaa ni adui wa mafanikio yako katiks mchezo huu wa betting ama kubashiri nenda mdomdo utafika lakini ukiendelea kuweka tamaa mbele basi jua kuwa daima kuwa zile rangi nyeusi zitaendelea kuwa rafiki yako wa kudumu na zile rangi za kijani kwenye profile yako zitaendelea kuwa adui wako mkubwa sana.View attachment 937305View attachment 937306View attachment 937307View attachment 937309View attachment 937310View attachment 937311View attachment 937312View attachment 937313View attachment 937314
 
Back
Top Bottom