wakali ndondo
JF-Expert Member
- Jun 12, 2017
- 583
- 908
Mkuu nilikuwa nasoma jinsi gani ya kubet Basketball nimehitimu coz fupi Boss,sasa tupia twende sawa niingie field,baada ya hapo nitasimama peke yang naamini,football napigwa mno.Waliofuata WOONView attachment 937493
Hii siyo hela ...in playView attachment 937497
[emoji16][emoji16][emoji16]Mkuu nilikuwa nasoma jinsi gani ya kubet Basketball nimehitimu coz fupi Boss,sasa tupia twende sawa niingie field,baada ya hapo nitasimama peke yang naamini,football napigwa mno.
Mkuu Mimi Leo ndo nimeanza kujaribu Basketball tatizo mechi sizipati,duuh.Ngoja niijaribu kibish
Hakuna sehemu inayoweza kukwepa kupigwa yaani huwezi Kula bila....,,[emoji38][emoji16][emoji16][emoji16]
Mkuu tatizo mechi unazoposti nahangaika sana kuzi search sizipati mwisho wa siku unaandika Won,roho inaniuma sana!!.[emoji16][emoji16][emoji16]
Hahaha najua lakin football duuh ina matokeo ya kikatil mno hasa unapocheza direct win.Hakuna sehemu inayoweza kukwepa kupigwa yaani huwezi Kula bila....,,[emoji38]
Boss tunaomba codes plssHakuna sehemu inayoweza kukwepa kupigwa yaani huwezi Kula bila....,,[emoji38]
Kweli Mkuu hata sisi tunaoanza itatusaidia sana,natafuta mech DKK 20 siipatiBoss tunaomba codes plss
Hii naona imegoma kuwa hela lossDaah hii ilikuwa tamu hii
Wamezingua wajinga hawaHii naona imegoma kuwa hela loss
Dk moja unakuta hazipo daah
Sasa mzee mpka hesabu za darsa la pili kujumlisha na kutoa nime kufanyia bado unaona uko sawa basi nenda pale kwenye chat uka waambie wakuwekee win maana umeshinda kwa mtazamo wakoSasa mkuu ukimtanguliza mgeni mwnyeji si unaondoa hivyo vikapu ulivyo mpa mgeni au? Na kama unamuondolea mwenyeji putin hapo kaniibia