Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Putin ukicheza zenye uwezekano mkubwa kushinda zinachana mikeka mbaya kuliko ukicheza ambazo kushinda uwezekano mdogo
Screenshot_20181117-142818.jpeg
 
Hapo maana yake ni 58+26.5=84.5, therefore hii ni lost.Huyo Osaka angepata vikapu zaidi ya 62 ndo ingekuwa win.Hesabu ingekuwa 62+26.5= 88.5.Inshort kama inakuwa (-20) 1 maana yake mwenyeji anaanza mechi na deni la point 20.
 
Hapa ndo utajua huu m hezo hauna gwiji yaani 11.59 away kasawazisha Tena kwa vikapu 3[emoji38][emoji38]
Screenshot_20181117-145437.jpeg
 
Back
Top Bottom