Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hapa ndo utajua huu m hezo hauna gwiji yaani 11.59 away kasawazisha Tena kwa vikapu 3[emoji38][emoji38]View attachment 937614
Na kuna goma la tenis kama unapresha unaweza ukafa...

Mtu anaongoza kwa pointi 5:0 mwenye 5 anapewa odd ya 1.27 win.. Cha ajabu pointi zinarudi na game inaisha 6:7...

Huu mchezo hauhitaji hasira [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aisee niliweka hii option kwa uoga mweee
IMG_20181117_153157_260.jpg
 
*England league 1*
Peterborough - Bradford City
Tip 1x & Un4.5 goals @ 1.40

*English league 2*
Exeter City - Northampton
Tip 1x @ 1.32

*Netherlands Eerste Divisie*
FC Dordrecht - FC Eindhoven
Tip 12 @ 1.24

*U19 Euro Qualification*
Turkey U19 - Moldova U19
Tip 1 @ 1.25
 
Nipe darasa la hochey na volleyball
Kwenye volleybal mi huwa naangalia set zilizopita timu zilipishanaje points kisha naangalia walivozipanga odds kulingana na magoli kama picha ya kwanza inavoonekana. Kisha nategabndoano yangu kama picha ya pili inavoonekana
NB. Volleybal seti moja inakamilishwa kwa timu moja kukamilisha magoli 25
Screenshot_20181117-163121.jpg
IMG_20181117_163444_788.jpg
 
Back
Top Bottom