Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

upo mkuu?
PORTUGAL - FA CUP
Sertanense - Benfica
Tip: Away win
Extra Tip: HT/FT 2/2, HT X2, Over 1.5 goals

VENEZUELA - CLAUSURA
Atletico Venezuela - Trujillanos FC
Tip: HT X

Spain - FA CUP
Almeria - Reus
Tip: Home win

Saudi Arabia - Pro League
AL-Wehda Club - AL-Feiha
Tip: Home win

Indonesia - Liga 1
Sriwijaya FC - PSMS Medan
Tip: Home win
Extra Tip: Over 1.5 goals

France - National
Avranches - Laval
Tip: X2

UEFA Women League
Rosengard(w) - Slavia Praha(w)
Tip: Home win
Extra Tip: Over 2.5 Goals

DENMARK - 1. DIVISION
Hvidovre - HB Koge
Tip: Away win
 
Mkuu maneno hayo kuna watu wakiliwa humu wanakufuata pm na lundo la matusi kuna mkuu alikuwa akishare hapa basket walimvamia pm baada ya kupoteza na kumporomoshea mitus toka siku ile yule mtu sijamuona tena humu.
Ku bet simple kuna mkeka nitatuma humu uhakika n 100% .... ukiliwa nakurudishia PESA yako... option ya 10 minutes X draw
 
Sasa ww na ww unataka kumkimbizaa au[emoji849][emoji849][emoji849]kabla hajatuma mikeka
Mkuu maneno hayo kuna watu wakiliwa humu wanakufuata pm na lundo la matusi kuna mkuu alikuwa akishare hapa basket walimvamia pm baada ya kupoteza na kumporomoshea mitus toka siku ile yule mtu sijamuona tena humu.
 
Sitaki akimbie mkuu ila ni tahadhar maana yeye anasema kabisa mkeka ukifel pesa yako unarudishiwa naamin kabisa ni jokes lakin kuna watu watachukulia ni kwel hao ndio watakaompoteza.
Sasa ww na ww unataka kumkimbizaa au[emoji849][emoji849][emoji849]kabla hajatuma mikeka
 
Sitaki akimbie mkuu ila ni tahadhar maana yeye anasema kabisa mkeka ukifel pesa yako unarudishiwa naamin kabisa ni jokes lakin kuna watu watachukulia ni kwel hao ndio watakaompoteza.
Kuna watu hawajui hata dk za basket ila possible ikutumwa anataka kushindaa
 
Uganda bila Okwi ni hovyo tu huyu Faruque Mia anarukaruka tu kaninyima over 0.5 first na kukosa magoli kizembe kabisa angekuwa mnyama mkali Emma saa tungekuwa tumeshawithdraw
Naonaa uganda kakamatwa huko leo
 
Uganda bila Okwi ni hovyo tu huyu Faruque Mia anarukaruka tu kaninyima over 0.5 first na kukosa magoli kizembe kabisa angekuwa mnyama mkali Emma saa tungekuwa tumeshawithdraw
Nilitegemeaa magoli zaid ya 3 leo
 
Back
Top Bottom